Kwanza kabisa natanguliza samahani kwa mhusika kama yumo humu JF maana nimeona niiseme ili hasirudie na nyie wenzangu mmshauri coz nimeona anasmart phone( Samsung S2 nyeupe) sijui ndo katoka kuinunua au kaazimwa au kaiokota maana sio kawaida kwa mtoto wa mjini kama nilivomwona kutumia style kama hiyo kuwasaka warembo wa hapa town.
Leo hii mida ya saa tano asubuh nikiwa kwenye mizunguko yangu hapa na pale nimekutana na kioja kwenye daladala za Ubungo-M/Mbusho via C/Kikuu.Kama ilivyo ada watoto wengi wanapanda huku Mlimani si unajua september conference inawadia? sup ndo muda wake hivo wanaenda kudiscuss na wengine library na wengine huwa wanatumia hii barabara kwenda M/city Kuchukua mahitaji,appointment na wengine wengi kula kiyoyozi cha bure na kuuza sura kwenye hiyo Mall ya Kaburu.
Da mtoto mzuri(rangi maji ya kunde,mrefu wastani.kajazia jazia. .linganisha na wale watoto wa Embassador Choir labda utapata picha) kapanda kunako hiyo daladala yetu na alikuwa ametupia sketi fupi kiaina ya kaki na kivest cheupe akaketi mbele yangu upande wa pili hivo nikawa nampimia vizuri.du,me nikajisemea moyoni Jamani Mungu Fundi,ningekuwa jogoo....
Kumbe wakati huo nafikiria hivo jamaa mmoja bahati nzuri walikaa siti moja na huyo mtoto alikuwa na mawazo yake ila kashindwa kuyapangilia,yule jamaa akampa hi Maskini mtoto wa watu bila shida akaitikia kwa sura ya upole ,jamaa akachomoa msimu wake huo na kuanza kuubonyeza,bonyeza mara aweke sikion mara autoe i na simu. Mara jamaa kajitambulisha "am Bryan,nasoma COET mwaka wa nne,naishi hall 7 na wewe JE?.demu akacheka kidogo. m nae akajb "vizuri unaishi wapi vile? " jamaa tena hall 7 dada akajib OK ,dem akakata stori, jamaa sasa akaanza kuomba contact kwa kumpa huyo dem simu yake ili aandike namba,dem akamwambia siku nyingine ntakupa coz nami naishi hall 7 ,nadhani jamaa hakuelwa. jamaa kuona hivo akaomba email "unajua sisi watu wa huku Mlimani mara nyingi huwa tunatumia email kuwasiliana basi naomba email yako tafadhari ,demu akachomoa, jamaa akaona hisiwe taabu akaanza kumtia voko live unajua Mungu katukutanisha hivo sio vizuri kuachana hvi hvi bila mawasiliano unajua nilipokuona roho yangu imeripuka kwa furaha na bashasha tafadhali naomba unipe mawasiliano , jamaa machozi kama yanamlengalenga machoni hv , demu akachomoa tena.da jamaa muda huo anaangaika mara ajishike kichwa,mara ajishike pua, mara atingishe kichwa kama kasikitika hv hajui atumie mbinu gani coz daladala lishafika utawala na dem anaonekana anataka kushuka jamaa nae akataka aliunge ikiwezekana akawa anamwabia mbona watu wengine hamna hata chembe ya huruma? dem kimya. Mara simu ya huyo dem ikaita(bonge la simu nadhani ni Iphon 7) akapokea na kujibu kama hivi"baby wait for the moment ndo nashuka hapa utawala si upo hill park?".Dem huyo akashuka zake na kuondoka da jamaa akabaki anamtizama yule dada akipotea.
Sasa naombeni tumshauri huyu kijana wetu maana nia anayo ila njia anazotumia ni za zamani na inaonekana atapata taabu sana kuwapata watoto wazuri wa kariba kama ya huyu.
"Watu wangu mnapigwa chini kwa kukosa maarifa"