Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ktk jukwaa hili la mapenzi na Mahusiano hebu niambieni au nifunzeni... Shanga zilee za kiunoni zinamaana gani? Mbona baadhi ya wanaume ukivaa anakutimua nazo anakuwa hataki kabisa anakuona km...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Ilikuwa usiku hivi, binti mmoja wa chuo akanitafuta. Since nilikuwa mpweke as wife hayupo ka miez 4, niliongea nae kwa utulivu. Siku zilivyozidi kwenda, dada wa watu akakolea na sasa kaahidi...
1 Reactions
92 Replies
10K Views
Dada wa kikenya azua gumzo kwenye mitandao hasa youtube kwa kuigiza umarekani uliopitiliza kwenye date. Nimeona discussion kwenye mitandao watu wamechukia mno kwa kulaumu internet na technolojia...
0 Reactions
50 Replies
12K Views
Heshima ya mwanamke ni ndoa hata uwe na mapesa kama bill gates na heshima ya mwanamume ni kuwa na kazi hata uwe mzuri kama nani sijui. Mwanamke bila kazi jamii inaweza kukuelewa na mwamume bila...
4 Reactions
264 Replies
22K Views
Mke ametoka katika ubavu wa mme, hakutoka kwenye unyayo ili adharauliwe na kukandamizwa. Wala hakutoka katika kichwa ili mwanaume ajisifu eti yeye ana akili sana bali ametoka ubavuni ili...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Utakuta mtu kweli ulikuwa nae pamoja labda ni Mpenzi /Mume /Mke Hata rafiki ikatokea siku akasafiri kwa muda mrefu au akakuacha. Kwa mimi ninaamini kuwa licha ya kuwa mapenzi yaliyokuwamo kati...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
I got to repost this. 1st year IFM, Theatre F. Nikiwa nimekaa lecture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi wa rika langu ,shikamooni wakubwa zangu na wadogo zangu marahaba. Wana mmu mwenzenu leo ninalo hili,wimbi la matukio ya wanaume wengi ambao kutwa hawaishi kulalamika kuwa...
7 Reactions
223 Replies
17K Views
Mpenzi wangu ni nesi, aliniaga anakwenda semina ya kikazi, tangu juzi jana nikapigiwa simu na jamaa kuwa mpenzi wangu kaonekana nyumba flani ambapo wanaishi watu mbalimbali, na jamaa alinijuza...
0 Reactions
107 Replies
14K Views
Iwe ulisoma nae primary, secondary au high school mwanamke huyo ukimuona leo ni kama mama yako mdogo au shangazi yako. Wanawake wanawahi kuzeeka sana wakati mwanaume akishapata hela ndio...
2 Reactions
113 Replies
13K Views
Ni kijana wa miaka 23 Natafuta girlfiend wa miaka 18~23 PM me if u ar ready
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MMU Mpo jamani naomba mniwie radhi najua mpo katika mambo ya kujua hatima ya Bunge Maalumu la Katiba litaishaje ila na Mimi nipo katika mawazo ya kujua mimi nitammliki vipi DEMBA. Tafadhali...
6 Reactions
105 Replies
7K Views
Chakula chochote chaweza kuliwa, lakini chakula kingine ni bora kuliko kingine. Mwanamke aweza kuolewa na yeyote, lakini msichana 1 ni bora kuliko mwingine. Uzuri wa m/mke hufurahisha uso na...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari za jioni ya leo wadau MMU? Naomba kushare nanyi. Nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini wazazi au ndugu wengi wa kiume huwa na wivu mkali sana kwa mabinti zao hasa wanapowahisi wana mahusiano...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wana JF naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza. Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda. Sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyoni kabisa.
0 Reactions
159 Replies
16K Views
I need a girl for marriage 18~22 Contant me 0756519684
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A dear and loving wife has applied for a ONE WAY trip to Mars leaving behind husband and everything else that matters? If she was your wife, what would you do of her? Could you leave everyone...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Jamani wana j4 nisaidieni nielewe hili jambo! yani men wako open sana, let say anapoanza kumtongoza lady na akapewa chance ya kuwa na mazungumzo hakawii kuongelea swala la xperience ktk hilo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimesoma hii kitu kwenye mtandao, kuna mwenye uelewa wa hii kitu?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi ni kijana umri miaka 24, natafuta mrembo humu ndani. Vigezo. •Umri kuanzia 18~22 •Awe mrefu wa wastani ila sio sana , na hata ukiwa mfup kama kistur sio mbaya •Awe mweupe natural...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…