Wakuu, Heshima kwenu, moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu.
Nina Mpenzi, tumekuwa pamoja for a while now, ila nagombana nae kitu kimoja tu, kila siku. Anapenda sana kuvaa pete kidole cha pili...
Nahitaji rafiki wa kike kwa urafiki wa kawaida tu. Madhumuni hasa ni kuchat juu ya mambo mbalimbali ya maisha kwa ujumla (opportunities, professional, biashara, kilimo hususan cha biashara...
Wakuu
Salaam ni matumaini yangu nyote ni wazima.
Back to the topic
Leo kwenye pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na post moja iliyonifanya nijisemee maneno haya "wanawake...
Maisha bana yana raha yake na karaha zake, kwenye ujana nako kuna mambo haya pia.
Leo nimekutana na mtu ambae alinisababisha nikakumbuka mbali sana,nimekutana na binti mmoja ambae alinipa "wehu...
kifaa kitakachosaidia kupunguza kasi ya kupata magonjwa ya zinaa kimetenegenzwa huko nchin marekani. kifaa hicho ali maarufu kama "Scroguard" kitakuwa kinavaliwa pamoja na kondomu ili kumuwezesha...
Rafiki yangu alitumia mbinu za kiimani kukupata tangu miaka ile pale Udsm,akakupenda kwa dhati bila dharati mwanamke wewe .Mwanamke usohaya kumbe watumia za giza kumpumbaza, amemwacha kwenye...
Nahitaji rafiki wa kike tujenge urafiki wa kawaida na ikiwezekana wa mapenzi kama itahitajika kuwa hivyo na kama tutarandana kitabia, kifikra na kimtazamo wa maisha kwa jumla.
Sehemu kubwa ya...
Katika hali ya kawaida msichana au mwanamke hatazamiwi kuwa na ndevu kwenye kidevu, juu ya mdomo, kifuani, tumboni na mgongoni.
Kwa kawaida mwanamke huwa na vinyweleo vilaini, ambavyo jamii...
Habari za asubuhi wadau wa jukwaa hili.
Mwezi uliopita nilipata nafasi ya kukutana baba yangu ambaye mara ya mwisho tulikuwa tumeonana mwaka 2012.
Tukiwa mimi, yeye na dada yangu mkubwa tukipata...
Tumekushauri kuvumilia umekataa katakata 'siwezi kuishi na huyu mwanaume, ni malaya sana, ataniua bure na maradhi'. Umeamua mwenyewe kuachika, tena kwa maneno ya kejeli eti najimudi kiuchumi so...
Jamani jamani, hivi kwanini wanaume baadhi yenu mnakosa heshima kwa wanawake? Achilia mbali matusi mnayotukanana nyinyi kwa nyinyi mkiwa serious au hata mkiwa mnataniana ambayo huwa mnataja tupu...
Assalam alykum
MKE CHUKUA NASAHA
(1)Usione Kumtii Mume wako kua Nikero Bali ni Dini na ndio Pepo yako.
(2)Usjaribu Kujitokea Nje bila yakuomba Ruhusa kwa Mume wako.
(3)Usitowe chochote...
Habari zenu wana jamvi.mm naitwa mlossy ni mwanachuo wa chuo cha kodi (ita)dsm,natafuta mchumba wa kumuoa kwani maisha ukapela yamenichosha.kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia 0713153696/0754953637.
Wana jukwaa nimechoshwa na vitimbwi na kero za kudate wasichana wa kuanzia miaka 18-26.
Yaani hilo kundi kwangu imekua ni kero kubwa, sana sasa nataka kuhamia kwa wamama yaani wa kuanzia miaka...
Jamani katika pita pita zangu nimengudua ya kwamba jamii ya kihindi, ni moja kati ya jamii haziwezi kuwaacha wake/waume zao kwa kisingizio cha kwamba eti hana uwezo wa kupata mtoto.
Ndugu wana...
Mie naitwa john natafta mke,sijali dini wala kabila wala umri.....
msichana yyte ambaye yuko tiari kua na mie anicheki kwa contact hiz...
0756763448 AU 0657035695
karibuni...........
Kijana mmoja mfanyabiashara wa aliminiamu wiliadi bewasi ameuwawa kwa kuchomwa kisu na mpenzi wake maeneo ya moshono.mpenzi wake anaitwa Rozi ndosi,picha ya marehemu hii hapa chini pamoja naya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.