Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni mwaka sasa tangu nimekuwa na huyu binti kiufupi nilipomtokea hakusema kuwa ana mtu ila baada ya miezi kama miwili akaniambia kuwa alikuwa na mtu wakati namtokea ila akasema amekwisha mwambia...
1 Reactions
73 Replies
7K Views
Can you date a guy or a gal whom you think is not on your level and still make the relationship work? For example, a blue collar guy dating a woman who is a doctor....
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau, sikutaka harusi kwa sasa ila mwanamke analilia hiyo, nimemwambia hali si nzuri anaumia sana. Sasa,Tshs. milioni 2 inatosha harusi ya namna gani, ndio hela iliyopo. Wazoefu nipeni...
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Suala la kuoa/kuolewa ni wajibu japo si lazima kulingana na maandiko. Nani ambae ameshafikia/ameshapita umri wa kuoa/kuolewa na hajatamani/hajafikiria kuoa/kuolewa? Ni heshima kutamani kuzaa na...
0 Reactions
93 Replies
11K Views
Wajameni... Leo naomba tusaidiane kujadili jinsi tunavyowadhalilisha wapenzi wetu in the name of love and protection Kuna rafiki yangu ana kaugonjwa kabaya sana ka kumnyang'anya mkewe simu na...
12 Reactions
94 Replies
11K Views
wadau Mimi sio mgeni sana hapa JF ingawa mara nyingi sio mwongeaji sana ila nimejifunza mengi kupitia kijiwe hiki na kila siku huwa lazima nipite! Back to topic... kuna vitu flani nakumbuka...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Poleni na mihangaiko ya mchana kutwa! Nimebahatika kuona wanaume wengi sana wakiwa na tabia ya kujifanya wana pesa,wamesoma,wana mali,wajanja,wajuaji wa mambo mengi pindi wanapokuwa na wanawake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanawake walioolewa wengi husumbuliwa sana na ujauzito pale unapokuwa mchanga,mfano kuanzia mwezi mmoja hadi minne. Sababu ya tatizo hilo ni shahawa zinazoingia nje ya mfuko wa uzazi baada ya...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kweli mapenzi ni kitu kingine kabisa. Mwanafunzi huyo ameamua kujichoma kisu kisa mapenzi. Amekufa jana mchana sababu alijichoma usiku wa kuamkia jana. ============================== UPDATES...
0 Reactions
119 Replies
30K Views
Being poor is nothing to be ashamed about; it's a dark cloud over your life that's going to float away if you manage your expenses. Avoiding poverty starts with this simple rule: don't spend...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Pregnancy Rebound Rebellion social pressure Guilt Pity Infatuation Romance N.b kama unanyingine ongezea
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Naanza kwa kujuta sana, kuna kipindi nilienda bank ya posta tawi moja hivi mkoa fulani, nikakutana na binti mmoja mzuri sana wa type yangu, alikuwa anafanya field pale, nikachanganyikiwa...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Wana JF Ninauzuni sana kuona mmama mmoja anataka kuharibu ndoa yake kwa penzi la shakuwavi. Ilivyokuwa, jamaa katongoza mwanamke akizania ni demu, siku ya pili (demu) mke akapanga wakutane...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanajamii huu uhusiano wa kupendana kupita kiasi, mara honey, baby, apple, mara ukisafiri anaanza kulia, mara muulizane umekula,baby umekula nini, mara ukitoka kazini anakupokea kwa kukubeba...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mimi Ni Kijana Mwenye Umri Wa Miaka 25. Natafuta msichana ambae tutafunga nae ndoa. Vigezo; Awe Na Umri Wa Miaka 18~23. Awe Na Tabia Nzuri
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana jamvi naamini mu wazima wa afya. Nimeolewa miaka nane iliyopita na tumebahatika kupata watoto watatu,tangu nimeolewa hiyo miaka naweza sema nimeishi na mume wangu miaka mitatu,namaanisha...
7 Reactions
173 Replies
18K Views
Wadau unakuta umeoa ila baadae ukaacha kwa sababu mbalimbali, ila ulliyemuacha kapata bwana anayemjali na wamefanikiwa kimaisha kiasi kwamba wewe wakati unasubiri daladala yeye anakupita na...
1 Reactions
80 Replies
8K Views
Serious jmn,kama upo okay ni pm soon
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu jamani poleni na majukumu. Mimi naombeni kuuliza utaratibu wa ustawi wa jamii unakuaje kama unataka baba wa mtoto atunze mtoto je? 1)Vitu gani wanaangalia na inakuwaje? Samahani...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
Ni sawa mke wa mtu kuwa na marafiki wa kiume, kiasi kwamba mwanaume unarudi nyumbani unamkuta mtu sebuleni eti amekuja kupiga stori na mkeo. Nimekuwa nikijiuliza sipati jibu lakini kingine mtu...
1 Reactions
103 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…