Imesalia miaka kadhaa hivi niwe na miaka thelathini, lakini sijui ni ushamba au ni matatizo yaliyokithiri kiasi cha kushindwa kuwa na historia ya kuwa mpenzi hadi sasa.
Lakini kwa sasa nina hamu...
Hey in here,I'm looking for cool friends to talk to.
Share experiences advices, just what friends can do.
I'm 29,friendly n easy to get along with. I work If ur interested pls pm me and I'll...
Watanzania ni watu wa ajabu sana yaani ukikuta kuna maelewano ndani ya ndoa yanayochagizwa na upendo wa dhati wanaanza kusema kamuwekea limbwata, yaani mtu kumpenda mkewe inakuwa nongwa kwa...
Kusema kweli sawabu au tunasema msema kweli mpenzi wa Mungu natumai kwa hapo tunakubaliana, mwenzenu mbali ya kutangaza na kutaka ushauri kwa kila ninaloliona lipo njia ya panda kwangu, nakuja JF...
Habari kwenu
Unakuta mwanaume unakula chipsi mayai halafu utegemee kumfikisha mwanamke!Mimi nikimuona mwanamme anakula chipsi huwa natamani nimnase bakora kama sita kikwazo kinakuwa ni sheria...
Habari wapendwa mimi ni msichana.
Nimeona sehemu na haikutosha nikatumiwa text. Ni kuhusu kujisafisha kwa uke, kuna kila aina ya usafishaji mfano maji ya moto na kitambaa au kidole, ndimu, hata...
Kila mara ninapoenda nchi jirani hapa kenya huwa napenda kufurahia vikundi vya vichekesho hasa pale carnival, napenda kwenda kuangalia churchll show, actually huwa na enjoy sana, big question...
Mara nyingi wanaume (wakware na wasiokuwa wakware) wanapokutana na mwanamke mzuri 'aliyejazia' vizuri kwenye 'maeneo yetu yale', utawaona wakigeuka kumtazama. Tabia hii haiko kwa wanaume peke yao...
Nina mke wa miaka mitano na kujaliwa na watoto watatu.
Tatizo la mke, hajui budget ya nyumbani, akigundua unahela atahakakisha imetumika yote bila kujali kesho, ana tabia ya kuandika uongo...
Nimegundua walioa wana save money, maana mi sigegedi bure, waliooa kupendelea vya bure, nalipia then na doo! Ndomana kunoga.
Nikifikiria udhamini niliotumia, ndo nasugua balaa, afu type tofauti...
ISAYA:4:1 Inasema:
Wanawake wasioolewa wataongezeka, na siku itafika wanawake 7 watamshika mwanaume mmoja wakisema utakula chakula chetu na kuvaa NGUO zetu kwa gharama zetu wenyewe, lakini utuoe ...
Zamani miaka hiyo kulikuwa hakuna uhaba wa madada wa kazi na zamani kufeli darasa la saba haikumaanisha hauna akili bali shule za sekondari zilikuwa chache
Tangu mpango wa elimu wa shule za...
Science Just Revealed How To Tell If Your Partner Will Cheat On You
Did your significant other just catch you cheating? According to a new study, you may be able to blame it on your parents...
Hili nimelinote kwenye ndoa yangu mwenyewe na kwa marafiki zangu.
1.Wanawake wengi hawako tayari kusikia mwanaume anashauri kitu chochote chenye msaada kwa binti wa kazi
2.Akimfokea binti wa...
Wakurya ukimkosea kukusamehe si kazi ndogo nime experience kwa jinsia zote mbili. Rafiki yangu wa kike college mate tulipishana kidogo mpaka leo urafiki wetu una danger.
Pia kuna kaka mmoja...
Salaam kwenu wana jamvi.
Kipindi hichoo nilivyokua bado kabinti hata sijajua kuvunja amri ile iloyokatazwa mpaka ndoa, kiukweli kigezo changu kikubwa angalau kunifanya nivutiwe na mwanaume...