Dubai: A Saudi teacher has reportedly told the man who wanted to marry her that she had only one condition before accepting his proposal: He must marry her two friends at the school at the same...
Habari zenu, kwanza nitangulize shukurani zenu kwa member ote wa jf, mm ni mgeni umu lakini nilikua naitaji girlfriend umri kuanzia miaka 18-22 mm nipo dar es salaam nimesoma adi kidato cha nne...
Na hii sio kwa binadamu tu ni hata wanyama. Utakuta kuku anadonoa watoto wa wengine tu wa kwake hata siku moja. Kuna documentary inaitwa chimpanzee 2012 . kisokwe kilifiwa na mamayake kikawa...
Eti wadau kuna ubaya gani mtu kugonga vitu vitamu? ikumbukwe mimi ni me.
Najaribu kumuelewesha haelewi, najitahidi kumwambia anipende kama nilivyo but kazi bure, ukizingatia sijawai fanya...
Wana Jamiiforums je unamkumbuka nani katika maisha yako ya shule iwe ni primary, O- level, A- level au chuo ambaye ungependa uonane naye, lakini hujui yuko wapi...
Hii ndio mbinu ya mwisho niliotumia kumpata huyu binti wa kingereza baada ya mbinu nyingne kugonga mwamba.
Na hili ni somo kwa vijana wengine ambao wanawatu wanaowapenda lkn kila wanapowatokea...
Zamani zile wanaume walikuwa wanawanyanyasa sana wake zao ila pia walikuwa wanawapenda sana kuliko manyanyaso yaani walikuwa wanawaheshimu akisaliti ni kwa siri sana.
Sijui siku hizi vipi...
Hii ni halisi. Wanawake wote wazuri wako ndani ya ndoa au wameshawahi kupita kwenye ndoa lakini kwa sababu zisizozuilika hawako kwenye ndoa tena. Na kama bado hawajafikia hatua ya ndoa wako kwenye...
Hay! waungwana marafiki zangu Namshukuru Mungu kuniweka hata siku hii ya leo niko mzima buheri wa afya njema, wengine hatunao leo hii kwanini mm ni nani mpaka nikawepo, jamani? hiviyo sina budi...
uzuri wa sura, figure na mambo mengine ya msing yanayo mpa sifa zaid mwanamke huwa ndo vigezo vikubwa mwanaume kutoa maamuzi ..... mwanaume hufata hukohuko kama nyuki atafutavyo ua zuri...ila...
Tuna wakati mgumu kuwaelewa hawa viumbe, wakiona pesa wako tayari kwa lolote, hawajari kuolewa na jambazi sugu, tapeli aliyeshindikana, mganga wa kienyeji muongo, wauza madawa ya kulevya, vibaka...
Habarini wana MMU.
Ujumbe wa leo.
it hurt to love some1 who means a lot to you, but at the end of the day you fInd out it was not meant to be.! don't go for looks they can deceive, don't go for...
Najua wazazi wengi mmetoka alfajiri kwenda kutafuta riziki,wengine mmewaacha watoto wakiwa wamelala,na mnarudi jioni au usiku!
Hivi mnahakikishaje au mnafanyaje kuhakikisha wanakua salama...
Habari wana MMU
Msishangae naandika nini hapa bado nipo kitandani najivuta kuamka nikatafute ulaji Lakini usiku wangu haukuwa mzuri kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana...
Kwa mtazamo wangu nina mambo mawili yanayonifanya nitamani kufunga ndoa.
1.)Status-unaheshimika na jamii ukioa,sina jibu kwanini inakuwa hivyo la moja kwa moja...ila hicho kitu nimekiona mara...
HI
Unajua sometimes wanadamu hatusemi nini kile ambacho ndicho tunajaribu ficha tukitafakari ukweli ni nini, mimi huwa nawapenda wote kama ndugu zangu, marafiki, majamaa, wazazi, walimu na n.k...
Hii ni spesho kwa wale ambao hata wakikosewa inawabidi wao ndo waombe msamaha... a.k.a nguzo za penzi;Toeni dedikesheni kwa wapenzi wenu
When you gonna stop breaking my heart?
I don't wanna be...
Imesalia miaka kadhaa hivi niwe na miaka thelathini, lakini sijui ni ushamba au ni matatizo yaliyokithiri kiasi cha kushindwa kuwa na historia ya kuwa mpenzi hadi sasa.
Lakini kwa sasa nina hamu...