Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,360
Eti wadau kuna ubaya gani mtu kugonga vitu vitamu? ikumbukwe mimi ni me.
Najaribu kumuelewesha haelewi, najitahidi kumwambia anipende kama nilivyo but kazi bure, ukizingatia sijawai fanya uchizi kutokana na vitu vitamu hivyo nnavyogongaga, nafanya hivyo reasonably but yeye analetaga za ulokole! chaajabu ni kwamba anakua mlokole hapo tu linapokuja swala la kutoa vitu vyetu anatoaga tu bila hiana. na ukizingatia nimeshaingia kingi! tena wakutosha tu! yeye anakete nne nami nimezuia main road na kingi wangu!!!!!
Ivi kwanini ke mnasema mnatupenda na wakati huo huo mnatuekeaga matobo ya kupenya na kutoroka?