Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ilikuwa majira ya saa 4:20 usiku wa tarehe 22/11/2014 hyo ni siku ya pekee ktk maisha yangu ni siku ambayo Mungu amenitendea makuu kwa kunipa zawadi isiyo na mfano ktk maisha yangu. Nakushukuru...
11 Reactions
81 Replies
7K Views
Lonjino ni mwajiriwa katika kampuni moja ya usambazaji wa nyama. Siku moja jioni baada ya kumaliza kazi zake za siku aliamua aingie katika chumba baridi cha kuhifadhia nyama kukagua kitu na kwa...
15 Reactions
26 Replies
4K Views
Tukio lililotokea siku sio nyingi huko Uganda na kusambaa kutokana na maendeleo ya mawasiliano limewastua wengi hasa wanawake kwakuwa ni wazazi,lakini hata wanaume nao limewastua sana na kupelekea...
11 Reactions
138 Replies
12K Views
Kristu..... Kuuliza sio ujinga, ikitokea umeachana na mpenzi wako kisha ukapata mchumba. Je kuna ulazima wa kumjulisha x wako kuwa umepata mchumba? Let say mnaishi mikoa tofauti ambapo sio...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Women are like phones: They like to be held, talked to, and touched often. But push the wrong button and your ass is disconnected. Source: The Information superhighway (aka the internet...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Hivi kwanini siku hizi kupungukiwa nguvu za kiume ni ishu sana? (Upungufu kwa maana ya kutosimamisha, sio kutotoa mbegu hai). Kwamba wanawake siku hizi wanapenda ngono sana? Na wanaume...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari wana JamiiForums. Nina mchumba mwanajeshi ambaye kwa sasa yupo mkoa tofauti na mimi. Uchumba wetu una miaka miwili sasa. Mwanzoni tulikuwa tunawasiliana vizuri lakini ghafla mawasiliano...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Yaani we acha tu. Mtu unamgegeda mkeo kwa raha zote, tena wala huvai mananihino kunako eti kuongopa ngoma wala nini. Yaani ni kutafuna tu pekupeku tena bila wasiwasi wowote ule. Hata ukichunwa...
6 Reactions
74 Replies
17K Views
HODII,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka kadhaa,yaani umri wangu unaruhusu kuolewa, niliwahi kuumizwa na mapenzi kiasi kwamba sikuwaza kama nitakuja kutamani kuolewa. Miaka kadhaa imepita...
1 Reactions
129 Replies
11K Views
Yaani imekua tabu watu hawali vikalika, hawasomi vkasomeka hawatulii makazini kisa kuwasema wadada wa watu. Hivi jiulizeni kuna mtu anapenda kufika 30 bila kua na mahusiano ya kueleweka...
8 Reactions
169 Replies
17K Views
[quote="sele199999, post: 11061189"]Mimi ni kijana umri 29, elim
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini za jioni. Msaada wa mawazo tu katika hili, wewe mume unaishi na mkeo, then your mom amekuja now ana miezi 3, just likizo. Mkeo ana tabia ya kumpa mama hela ya personal use every now and...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nakumbuka zamani nikiwa mdogo, haipiti wiki bila kula nyama za mbuzi wa faini aliyotozwa mwanaume kwa kosa la kumpiga mkewe. Yaani mama zetu walikuwa wanapigwa, lakini wameweza kudumu ndani ya...
3 Reactions
108 Replies
11K Views
Am christinah by name nipo mwanza
0 Reactions
146 Replies
9K Views
salamu kwenu wakuu!!!!! kwanza kabisa mimi ni mpenzi mkubwa wa majogoo wa jiji, LIVERPOOL FC na niliipenda zaidi wakati nipo A-LEVEL kuleeee Tanga kunani, na niliipenda kwa sababu JOHN BAINS...
4 Reactions
132 Replies
18K Views
HUYU mwanamke ameanza kunipakazia ili aonekane yeye anauza sana ni muda sasa tangu siku moja nifumaniwe na bosi ofisini, nikitaka kula nae uroda, tukasitisha zoezi lakini! nilibaki na chupi...
2 Reactions
86 Replies
14K Views
Kama ilivyo mambo mengine kuwa "affection" ni swala la kujifunza, baadhi ya wanaume waliokuzwa/kulia kwenye jamii yenye mfumo Dume (Waafrika kwa ujumla) huwa hawajui kuonyesha hilo hitaji, embu...
4 Reactions
23 Replies
16K Views
mambo wana jf jinsia yangu ni mwanaume,naish dar,nimwajiriwa,dini mkristo,elimu yangu ni chuo kikuu.situmii kilev chochote wala sigara,sijawah kuoa,sina mtoto.natafuta rafiki wakike ili baadae awe...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habar, Nipo hapa naomba mwenye nia nzuri ya kuolewa ani pm. Niko tayar kwa maisha ya ndoa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJamiiForums wenzangu nahitaji wenu msaada hasa katika suala zima la kufika kileleni kwa mwanamke kupoje. Kwani ni jambo ambalo bado sijapata majibu sahihi ya kuridhisha. Siku tatu zilizopita...
1 Reactions
42 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…