Habari wana JamiiForums mimi sio mwenyeji sana wa JamiiForums lakini ni mwenyeji pia kwa sababu huwa napenda sana kutembelea hii tovuti na kuchangia mada inaponibidi, kwahiyo kama niliivyoandika...
Kweli ukubwa jalala.
Ni kipindi cha likizo na nina watoto kibao nyumbani. Sasa changamoto niliyonayo ni binti about 16 mtoto wa kaka yangu, ambaye kazaliwa nje ya ndoa na bahati mbaya mama yake...
BABY ni neno la Kiingereza lenye maana ya mtoto, tena mara nyingi linatumika kwa mtoto mdogo. Pia lina maana nyingine ya mpenzi. Ni neno maarufu sana siku hizi; hata wazee kabisa, utasikia...
Kama simu yako ya mkononi haikatiki kiganjani mwako muda wowote, inaweza ikawa inaharibu uhusiano wako na umpendaye. Wanasaikolojia wamesema kuwa watu wengi kwa sasa wanalazimika kushindana na...
Habari
Ipo hivi jana nilikuwa nimetoka zangu kinondoni narudi home kimara- suka nilipofika usalama nikaanza kutafuta daladala ya kwenda suka kama ww mwenyeji wa dar utakuwa unajua usafiri wa...
Mwenye masikio na asikie mke wa mtu yeyote ni sumu nilikuwa nasikia tu mafumanizi na mwanaume kuliwa .... akifumaniwa, ila kwa mara ya kwanza leo nina picha za kijana ninayemfahamu fika amewekewa...
Kwa upande wangu mimi ni mzima wa afya tele, tena nikizidi kumwomba MUNGU azidi kunijalia mimi uzima pamoja na wana jamvi wenzangu.
Ufuatao ni mtazamo wangu then tutachangia kwa pamoja ili...
Jinsi ya kusafisha Uke wako
Awali nilikuwa nikidhani kuwa kila mwanamke anapaswa na anafahamu jinsi ya kujisafisha ndani ya uke mara tu baada ya kuondolea bikira (kuanza mahusiano ya kimapenzi na...
Wana jf amani iwe kwenu nyote. Habari zenu wapendwa? kwa sasa nimeamua kutafuta jiko la ukweli.
Mimi ni muislam naishi shinyanga kikazi ila ni mzaliwa wa Lushoto Tanga. Ambaye yuko tayari na ana...
Beauty is in the eye of a beholder ila kuna mambo mengine yako obvious bhana, yani mara nyingi utakuta mwanaume ni ugly lakin Ana mkwanja kinoma...(sio wote)
Lakini handsome men Mara nyingi ni...
NIMEIPENDA HII ...KWA AMBAO HAMJAOA WALA KUOLEWA
Katika hali ya kawaida, kila mtu anapofikiria suala la kutafuta mpenzi kwa mwanaume lazima ataangalia msichana mrembo, mwenye muonekano mzuri huku...
Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka ishirini na tisa nimeajiliwa katika idala moja wapo ya serikali.
Ninatafuta mwanamke mwenye umli kati ya miaka 18 mpaka 28
sifa za ninae mhitaji awe na elimu...
wana jamvi naomba ushauri wenu. Mimi natoka kwenye familia ambayo ni single parent baba yangu alifariki miaka kadhaa iliyopita hvyo tumebaki na mama.
Kaka yangu alisha owa lakn mke wa kaka...
Kuna friend wangu ambaye yupo kimahusiano na shemu wangu, wamedumu kwa mda mrefu ila ndoto yao mwaka ujao ilikuwa rasmi wafunge ndoa,tatizo nikwamba rafiki yangu alihisi kuwa mpenzi wake ana...
Nasikia wanawake kuanzia umri wa miaka 40 wana mapenz matamu sana so aliyetayari anitafute kwa namba 0659760575. Sifa. 1.asiwe na mme 2.awe na miaka 40 na kuendelea. 3.mwenye hela. 4.awe tayari...
Mama Mkwe Mtarajiwa, kumbuka Mimi Nimewasilisha Barua Yangu Ya Uchumba Miezi Kadhaa Iliyopita, jibu Langu Bado Nalingoja Ili Nijue Mahari Utakayonipangia Kuitoa, sijamuoa Mwanao Bado, ila Kwa Kasi...
Baba na mama walitengana, binti akiwa na miaka 10.
Mama aliolewa na Baba wa binti alio mke mwingine.
Binti akawa anaishi kwa mama yake na kulelewa na baba wa kufikia. Baba yake mzazi alikuwa...