Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana JF. Kabla sijaenda kwenye fact naomba niwakumbushe ndugu zangu kuhusu kariakoo "FREMU zakufanyia biashara kariakoo bado zipo nyingi Sana muda wakuwekeza ni Sasa". Thread hii ipo...
1 Reactions
0 Replies
256 Views
Hatukatai uzazi wa mpango ni muhimu, tunazalisha idadi ya watoto tunaoweza kuwamudu na kuwahudumia. Tatizo linakuja mna uwezo wa kuhudumia hata watoto saba lakini mwanamke anafunga breki mtoto wa...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Marriage Confession: I Became the 'Other Woman' in My Own Life https://www.youtube.com/watch?v=DAYVqZDbFkw I Used to Judge Wives Like You, Until I Realized I Was Talking About Myself There's...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi. I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane. To be honest...
60 Reactions
250 Replies
21K Views
Habari zenu wakuu. Sio mara ya kwanza kuomba ushauri juu ya migogoro yangu Mimi na mwenzangu (mke) pia nimekuja kwenu kwa mara nyingine tena kwakua this time naona imekua too much na nimeona bora...
73 Reactions
601 Replies
63K Views
Wanaume wengi huwa wana vimada nje ila huwa wanajiamini sana kuwa hawachapiwi huko nje, wengi huamini kuhudumia wake zao vizuri na kupiga mashine vizuri ndio kuwatuliza Lakini tunaambiwa kati ya...
21 Reactions
98 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kilivyo, Wadau nimekwama kutoa maamuzi juu ya hili suala nabaki kuangalia tu siku ya tatu leo. Wakati naripoti halmashauri baada ya ajira mwaka 2015 Kigoma nilikutana na...
33 Reactions
566 Replies
47K Views
Kuna usemi kuwa nayejua Baba wa Mtoto ni Mama.Hii inatokana na tabia ya wanawake wengi kuwabambikia Waume zao au wenzi wao mimba wakati wamepatiwa na wengine.Inatokea pale Msichana anapotaka...
2 Reactions
32 Replies
7K Views
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa...
148 Reactions
542 Replies
43K Views
Wanajamvi Heshima zenu Je unahitaji kuunganishwa ili kupata mwenzi wako kama Mchumba na baadae Mume au Mke. Tafadhali tuma wasifu wako kupitia DM ukijielezea ** Umri, Umbo lako, Dini, Hobbies...
5 Reactions
54 Replies
11K Views
Huo ndiyo ukweli ukubali ama uukatae! Janamke au Janaume ambalo hulijui umekutana nalo tu huko kwenye Viwanja vya starehe,tambua limekuachia Mikosi ambayo itakuandama mwaka mzima ! Kibaya zaidi...
22 Reactions
103 Replies
5K Views
Angalau kila ofisini rasmi sehemu za mijini huwa na wafanya usafi mara nyingi huvaa uniform/sare maalumu hawa ndo kimbilio la madomo zege walio wengi humo. Yaani ukimtaka tu unapanga nae ama...
20 Reactions
296 Replies
74K Views
Kwa muda wangu mfupi niliojiunga humu Jf nimegundua wanaume wengi mno humu ni wapweke. Upweke ninaomaanisha hapa sio ule wa kukosa mpenzi/mchumba/mke bali upweke ninaouzungumzia hapa ni ule wa...
37 Reactions
245 Replies
8K Views
Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca. Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana . Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana . Na...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Kila mmoja ana mambo kadhaa ndani ya mahusiano ambayo yanamkera mpenzi wake. Ila kuna lile limoja kabisa umeshindwa hata kupunguza. Share experience tujifunze kutoka kwako. Binafsi: Nimeshindwa...
6 Reactions
59 Replies
2K Views
Habari wadau wa JF? Niende moja kwa moja kwenye mada. Maisha ya mahusiano yamejaa visa na burudani za vya kufurahisha na kustaajabisha. Kuna wakati wapendanao hufurahiana sana ila kuna nyakati za...
1 Reactions
3 Replies
539 Views
Nitafanya yote lakini siwezi kuishi bila mwanamke Tena awe mwembamba na nitahonga vyote Ila kwenye mahusiano hayo lazima nipate Ile hakula nahisi kua wengi wanaoingia kwenye mahusiano hawajui...
3 Reactions
6 Replies
633 Views
Bwana bwana tembea uone. Msichana wa Arusha akikasirika kidogo anaweza kukwambia ntakuchoma kisu mimi. Au akitaka kukwambia kitu hata kama cha kawaida anaweza kulipuka kwa sauti kubwa ya ukali...
9 Reactions
49 Replies
2K Views
Hello jamiiforum Moja ya siku nzuri na yenye kupendeza ikiwa ni kumbukumbu ya kufufuka Kwa Yesu Kristo wa mbari ya Daudi. Hakika ni moja ya sikukuu bora kabisa Kwa siku ya leo. Ndugu zangu...
9 Reactions
18 Replies
641 Views
Kuna mzazi mwenzangu tumezaa nae watoto wawili,juzi juzi hapa tulizinguana(nilimpiga) akabeba vitu vyake pamoja na watoto akarudi kwao,amekaa huko weeee me sikuhangaika nae kumtafuta,baadae...
2 Reactions
16 Replies
579 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…