Matola Nimeingizwa Majaribuni Ewe Mwenyezi Mungu nisaide

Status
Not open for further replies.

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,305
92,391
Wajameni nina msiba mzito ila sintokuwa wazi kuficha uhalisia, maana JF inatembelewa na wengi.

Kutokana na ukaribu na mtarajiwa wa huyu binti aliyefariki akiwa bado mbichi kabisa na kwakuwa Matola ni mtu ninaheshimika na kukubalika kiasi chake kwenye jamii inayonizunguka mimi ndiye nimekabidhiwa majukumu ya kuwa mratibu mkuu wa show hii ya burial Ceremony.

Sasa basi baada ya kupata ripoti ya mapato na matumizi ya ule msiba uliogharimu shillingi millioni 60, nimejihisi kama nataka kuharibiwa Credibility yangu, nililikataa hili jukumu lakini nimeshinikizwa kwamba there is no excuse, bado nina kumbu kumbu nzuri ya kina Mtitu walivyochakachuwa rambirambi ndio sababu namuomba mungu aniepushe na tamaa hii, maana mwitikio wa michango ni wa hali ya juu na washirika wanachangia kwa hali na mali.

Please Help me God.

R.I.P my in law.
 
Mungu akuepushie tamaa na akupe utu na busara!
R.I.P Shem wa Matola
 
Pole sana Matola, nimekuelewa.

Na kama utatishia kuwaanika hawatakuacha bila skendo, pole sana.
 
Kwani ujasikia kuna msiba umegharimu shilling millioni 70!!??

Mara mllioni 60 mara millioni 70,
anyway kufa kufaana chomoa million 20 weka kwenye ac yako,hizo zilizobakia tumia kwa ajili ya msiba unataka Mungu akupe nini tena?
 
Mara mllioni 60 mara millioni 70,
anyway kufa kufaana chomoa million 20 weka kwenye ac yako,hizo zilizobakia tumia kwa ajili ya msiba unataka Mungu akupe nini tena?
Nadhani sijaeleweka vyema, kuna msiba msiba wa msanii anayesemekana alikuwa maarufu kamati ya mazishi wanasema wametumia shilling millioni 70 kwa ajili ya mazishi!!......hapo ndipo msingi wa thread yangu ulipo kwamba Mungu aniepushe na usanii wa namna hii.
 
Wajameni nina msiba mzito ila sintokuwa wazi kuficha uhalisia, maana JF inatembelewa na wengi.

Kutokana na ukaribu na mtarajiwa wa huyu binti aliyefariki akiwa bado mbichi kabisa na kwakuwa Matola ni mtu ninaheshimika na kukubalika kiasi chake kwenye jamii inayonizunguka mimi ndiye nimekabidhiwa majukumu ya kuwa mratibu mkuu wa show hii ya burial Ceremony.

Sasa basi baada ya kupata ripoti ya mapato na matumizi ya ule msiba uliogharimu shillingi millioni 60, nimejihisi kama nataka kuharibiwa Credibility yangu, nililikataa hili jukumu lakini nimeshinikizwa kwamba there is no excuse, bado nina kumbu kumbu nzuri ya kina Mtitu walivyochakachuwa rambirambi ndio sababu namuomba mungu aniepushe na tamaa hii, maana mwitikio wa michango ni wa hali ya juu na washirika wanachangia kwa hali na mali. Pls Help me God.

R.I.P my in law.

Acha kupenda sofa za kingese.Mimi naamini wewe ni Mwalimu 100%.
 
Halafu punguza mirungi.post kama hizi ndio uitwe great thinker
 
Omba ushauri kwa mzee wa London aka Mzee wa Rambirambi za Mwangosi(RIP) alifanyaje!!
 
Story ya kutunga hii!
Tangu mwaka 2012, wachangiaji hawajafika 20.
Hata kifo cha Kanumba hakikufikia bajeti hiyo.
Labda ka unazungumzia kifo cha Nyerere.
 
Ushawahi kubakwa na Mwalimu?

Bora umeliona hilo maana jamaa ana aleji na walimu kiasi makalio yanamtepeta hadi anadhani kila mtu ni mwalimu.

Kwanza ningekuwa Mwalimu ningejisikia faraja sana maana hata Nyerere alikuwa mwalimu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom