Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukisoma bible utakutana na mistari hiyo hapo chini, hii inawagusa wanawake kama chanzo cha matatizo kwenye mahusiano. Hii inamaanisha, ni vigumu sana kuwaelewa viumbe hawa. Hebu angalia picha hii...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana JF wenzangu mm ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 21 namhitaji binti ama mpenz mwenye umri wa kuanzia miaka 18 hadi 21. Mwenye hizo vigezo wa umri an PM. Asanteni wadau.
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Bibie mmoja yamemkuta sasa kwenye ndoa,aliaga December anakwenda Zanzibar,kapelekwa mpaka Bandarini kiasi Kubwaa amerudi nyumbani mume. Anashika novel anaona risiti za malipo ya Lodge ya Mbeya...
2 Reactions
49 Replies
8K Views
THE 50 THINGS ABOUT WOMEN THAT BAFFLE MEN: Their mood swings How shopping is more than just shopping, it's a social event The time it takes them to get ready Their ability to hold grudges How...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MIMI NI KJANA WA MIAKA 25, KTK MAISHA YANGU HUWA NAJSIKIA MPWEKE SANA KAMA SIPO KAZIN KWAN CJAWA TAYARI KUOA NA SINA MPENZ WALA MCHUMBA, NAHITAJ MWANAMKE YEYOTE WA KUBADLISHANA NAYE MAWAZO. my...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi, natumaini muwazima wa Afya, Nimeona nije kwenu walau mujue yanayonisibu, sio kitu kipya hapana, ila kimeniweka kwenye mazingira magumu sana, japo najitahidi kufanya kila linalowezekana...
2 Reactions
227 Replies
22K Views
Habari wadau, poleni na pilika pilika za kutafuta ridhiki. Nimeona niilete hii mada tuijadili hasa kwa wakazi wa Jiji la Dar-es-salaam. Mwenzenu nikitembelea Posta huwa nashindwa kuwaelewa hawa...
2 Reactions
61 Replies
12K Views
Nikipata kamechi hata ikiwa ni dhidi ya katimu-kibonde yaani vile vimechi vya ghafra-bin-vuu, Huwa kama nafasi na mazingira yanaruhusu ninakuwa na kiu na kauroho kaajabu ka-kutamani angalau...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimekutana na hii picture story mtandaoni iko poa sana
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Mimi ni mwanaume,umri wangu ni 30 natafuta mke wa kuoa.Naishi Dar es salaam kwa mawasiliano zaidi ni pm usisahau kuweka namba ya Simu.Ni mwajiriwa,Elimu yangu ni Chuo.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habar zenu wanajamvi? Wandungu nina homeboy wangu flan ambae tunaishi nae jirani huku kwa weupe, huwa ananshangaza sana kwa hii tabia yake ya kuendekeza kupiga mkono sometime ata mbele ya mke...
0 Reactions
107 Replies
11K Views
Habari wapendwa. Kuna huu mtindo, baadhi ya mabinti, wanakuwa na mwanaume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.Ninajiuliza, wanawezaje kufanya hivyo.Hao wanaume hawashitukii. Naomba uzoefu...
0 Reactions
100 Replies
10K Views
Habar zenu, kwa mara ya kwanza napost Jamii forums. Kuna hili jambo mwenzenu laniumiza kichwa. Mpenzi wangu haniamini tena kama zamani kwa chochote kile na yote ni kwasababu niliwahi kumcheat...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Hivi kunauhusiano gani kati ya kuwa mtoto wa mwisho na kupendwa na mabinti,sisemi kila mtoto wa mwisho anapendwa pia sisemi wasio watoto wa mwisho kuzaliwa hawapendwi. Ila maranyingi nimeona...
3 Reactions
102 Replies
9K Views
Najitokeza kwenu mm ni mwanaume umri miaka 28 natafuta msichana wa kuoa umri ni kuanzia miaka 18-26 mimi naishi Dar es salaam nitumie PM kwa aliyeko tiyari..
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wimbo huu inadaiwa ni ni tukio la kweli, mimi namwona mama huyu kiwakilishi cha wanawake jasiri wenye upendo wa kweli ulivuka mipaka, alibeza kudhalilika ili aokoe Maisha ya mume ampendae. Jamii...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Ebu na mwenye uzoefu atie neno hapa; ukweli nikwamba ukienda posta rate ya mademu wabaya inapungua sana! Kila demu kwa reception na mwonekano wa kawaida utaona anafaaa...! Tembea kidogo kuelekea...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
SIMULIZI.........PENZI CHUNGU MWANDISHI... HALFANI SUDY SEHEMU YA 1 Suto Sutani, alikuwa ni msichana mwenye umri wa miaka 22. Alikuwa msichana mrefu wastani, Suto alikuwa na umbo zuri sana...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari zenu wanajamvi, Uhusiano wa kawaida ambao unajengwa na jinsi mbili KE na ME, Umekuwa na changamoto kadhaa kwa watu kushindwa kujua jinsi ya ku deal na wenzao wao, kujua nani ni perfect...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…