Noma sana, juzi nilikuwa na mchepuko wangu unasoma IFM nikaukamua majonjo yote nilikuwa sijaonana nao siku nyingi toka nilipokuwa Mbeya. Baada ya kumaliza game nakuja kuona kuwa mgegedo wangu...
Ni mama yake sawa, na ni mama yangu kwasababu ni mkwe wangu na nampenda kweli! She is nice.
Sasa tatizo nikwamba ni marafiki wa mnoo na binti yake, I think she is the one who makes my wife happy...
Habari za jioni wana Jamii forums
Wana Jamii Forums utakuta mwanaume anaefanya kazi na mwanamke (Nazungumzia walio katika Ndoa) pia anafanya kazi sasa tatizo linakuja katika mgawanyo wa majukumu...
Nimeingia kwenye uhusiano na mdada mmoja alikua ameolewa sasa ameachana na jamaa yake na walibahatika kuzaa mtoto mmoja, sasa huyu dada haishi na mtoto, mtoto yuko kwa bibi yake Kijijini, nimekua...
Jinsia yangu ni mwanaume Ninaeishi Dar es salaam,Elimu yangu ni Chuo ,ni mwajiriwa.natafuta mke wakuoa Mwenye sifa Zifuatazo:
-Mweupe
-Elimu -chuo Kikuu
-Amejiajiri/kuajiriwa
-Umri 20-32...
Habarini wana MMU,leo ninalo hili jamani,suala ambalo limekuwa kamavile limeegemea upande mmoja,jambo ambalo si sawa!
Kumekuwa na tabia ya wanaume wengi kudai mengi sana au kuweka vigezovingi...
Mi ni kijana mtanzania,mrefu kiasi,mweupe,Umri wangu ni miaka 32 sina Mtoto,nahitaji mwanamke alietayari na anaejitambua Umri wake usizidi miaka 36 alie tayari ani Pm tuongee vizuri au anitafute...
Kuolewa ni majaliwa na ni mapenzi ya Mungu bila kujali kuwa we single mother . Lakini ikumbukwe kuwa nawaapreciate single mothers wote ambao pamoja na usingle wazazi wenu mmesimama vema na...
Hawa jamaa ni wambea kupita kiasi, yaani ni zaidi ya wanawake.Hawa jamaa wakiona mshikaji kapanda Bajaji na msichana wake utakuta wanafanya wanaweka vizuri side mirrors (vile vioo vya pembeni mwa...
Wanawake wengi wanajiuza bila kujitangaza je wewe unajiuza. Jiulize haya maswali.
Umeshawahi kuwinda boyfrnd mwenye pesa?(Kama jibu ni ndiyo 10marks).
Umeshawahi kuwahi kununa eti kisa jamaa...
Nimenyanyasika sana na mapenzi yote kisa sina kazi.Nshapata Cheq namba tayari na nimeanzia TGTS G.
Yule binti kigori mbichimbichi chiken chiken ani PM tuchek utaratibu wakukaa ndani kidogo...
Nimekuta hii habari kule Michuzi Blog- Je ungekuwa wewe ungemshauri vipi huyu mama?
Bwana Michuzi,
Naomba usome mail hii kisha ukiona inafaa uiweke kwenye blog yako wadau wanisaidie/wanishauri...
Nimekuwa najiuliza kwa miaka sasa kuhusu mkasa huu nilioushuhudia sipati jibu.
Kuna la kujifunza hapa. Ni hivi:
Jirani yetu alifariki. Alikuwa ameoa na watoto watatu wakubwa tu mmoja tukisoma...
Naomba waliooa na kuolewa pia mnakaribishwa kushare experience zenu, bila kusahau wadau ambao ni single si vibaya tukapata maoni yao.
Hivi wanaume mliooa, mlioa wachumba/wanawake mliowapenda(bila...
Jamani nimechoka kuwa single.
Namhitaji Sasa Mrembo Msomi Mkristo Mrefu Mwenye hofu Ya Mungu Umri 18-27 Na Mwenyekazi Au Asiye Na Kazi. Mimi Mjasiria Mali Umri Wangu 31 Kwa Aliyeserious Tu...
Hamjambo wanajamvi.
Mimi ni Kijana mwenye miaka 27, Mkirsto, elimu yangu ni Chuo kikuu.
Ninahitaji mchumba,dada mwenye umri kati ya 23-25/.Mkristo,Mcha-Mungu.
Mwenye kiasi. Mrembo of...
Wazazi wa miaka hii hawatimizi majukumu yao ipasavyo katiki malezi ya Watoto wao hii inatokana na ubize uliopo kwa wazazi na kushindwa kuwa karibu na watoto wao .
Sasa tatizo hili kwa namna moja...