Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

lamalu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
612
Reaction score
776
Mi ni kijana mtanzania,mrefu kiasi,mweupe,Umri wangu ni miaka 32 sina Mtoto,nahitaji mwanamke alietayari na anaejitambua Umri wake usizidi miaka 36 alie tayari ani Pm tuongee vizuri au anitafute lamalunkanyemka311@gmail.com
 
kama nakujua nina ndgu ana miaka 32, na ameoa ana watoto wanne nimekubani kupitia mwandiko wako na email yako au unataka niwafahamishe wa jf
 
kama nakujua nina ndgu ana miaka 32, na ameoa ana watoto wanne nimekubani kupitia mwandiko wako na email yako au unataka niwafahamishe wa jf

Go on! But napenda ufahamu nipo seriuos ktk hili kama ni lazima uchangie kila post ili uvunje watu moyo ok go on! Sina mke wala mtoto,na nimeamua kutumia njia hii kwan nishahudhuria ndoa tatu watu wamekutana kupitia njia hii,tatizo hili sio wewe tunalo watz wengi hatuitumii ipasavyo hii mitandao tunabak tu oo mume utapata humu au mke utapata humu!
 
uko faster mdada lol :embarrassed::wacko::wacko:
bro akizingua ni'PM sawaaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom