Malezi kwa watoto

Malezi kwa watoto

burtons

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
280
Reaction score
86
Wazazi wa miaka hii hawatimizi majukumu yao ipasavyo katiki malezi ya Watoto wao hii inatokana na ubize uliopo kwa wazazi na kushindwa kuwa karibu na watoto wao .

Sasa tatizo hili kwa namna moja ama nyingine inafanya kuporomoka kwa maadili katika Jamii watoto kutowaheshimu wazazi wao,au wakubwa wao.

Watoto wanashindwa kujua thamani ya wazazi wao maana utakuta mtoto tangu alipozaliwa amekua akihudumiwa na house girl tu then mtoto anapoanza kusoma basi atapelekwa boarding hilo ni tatizo.

Jamani kwa mlio katika ndoa kuweni karibu na watoto wenu tafadhali.
 
Tuache kwenda kutafuta pesa tuwanyweshe uji ama? Kuna mda wa kukaa na watoto na mda wa kazi.
 
burtons mada zako uzipe muda...usizianzishe mfululizo....yaani baada ya dk. 15 ushaanzisha nyingine..
 
aiseeeee hii nikutokana na dhana ya ninyi wanaume kujidai hamtaki magol keeper , na pia kujiona kuwa mnachunwa ngoja tusake zetu tuchanganye na zenu maisha yaende......
 
Back
Top Bottom