Madereva bajaji acheni umbea

Madereva bajaji acheni umbea

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Hawa jamaa ni wambea kupita kiasi, yaani ni zaidi ya wanawake.Hawa jamaa wakiona mshikaji kapanda Bajaji na msichana wake utakuta wanafanya wanaweka vizuri side mirrors (vile vioo vya pembeni mwa bajaji).

Ukweli ni kwamba hawa jamaa huwa wanazitegesha zile side mirrors ili waweze kuona wanachokifanya waliopanda nyuma kwenye Bajaji. Mara nyingi mwanaume na mwanamke wakipanda kwenye bajaji huwa wapigana kiss au kushikana na madereva bajaji wamejua hilo kwahiyo huwa wanategesha vioo vile ili wawapige chabo.

Madereva Bajaji acheni umbea mtasababisha ajali zisizo za msingi umbea sio dili.
 
lazima kuangalia usalama wa abiria yake...na kuhakikisha kuwa yuko salama...je kama jamaa wana panga wanavizia bajaji yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom