Heshima kwenu wadau!
Jana katika mazungumzo yangu na marafiki zangu nilipata kusikia hoja ngeni kwangu, rafiki yangu huyu anadai 90% ya wanandoa wanaotumia usafiri wa pamoja kwa maana ya gari...
Barabarani tunapishana na watu mbalimbali, kazini, shuleni/vyuoni, kwenye sehemu za burudani, safarini nk ambao wamebeba siri nyingi binafsi ambazo kwa mtu aliye jirani yake hawezi kujua...
Habari wana Jamii forums.
Natafuta marafiki wa jinsia yeyote. Mimi ninapenda muziki(kusikiliza), kuogelea, kusafiri, kwenda baharini, vollyball, football, movies na kuwa na furaha. Ninafanya...
Nawasilisha kwenu taarifa za kiutafiti, zilizofanywa na wanafunzi wenye uwezo mkubwa wa kIakili kutoka katikat chuo kikuu cha majiniasi dunia nzima Havard. Kuhusiana na saikolojia ya mapenzi kwa...
Mimi ni mwanaume wa miaka 27,npo Moshi mjini Msaranga,nahitaji mpenzi mwenye elimu,kabila na Dini yoyote kikubwa mwenye kujiheshimu nakuthamini mapenzi yetu,karibu pia on whatsapp but pia mimi ni...
Kilichopelekea niandike kichwa hicho cha habari ni tabia Iliyojitokeza kwa shemeji yenu Mrs. Gentamycine ambapo amekuwa na katabia kapya ambako sikajui nani kamfundisha ambapo kila anapokuwa tu...
Habari.
Natafuta Rafiki Wa Kike Mtu Mzima Wa Kubadilishana Mawazo.
Sifa: Awe Hana Mume Au Mume Mwenye Busara Na Hekima
Umri Kuanzia Miaka 30-40
Anayejiheshimu.
Kwa Aliye Tayari Ani Pm
Wakubwa nahitaji binti wa kuchat nae anipunguzie mawazo kiukweli niko vibaya leo.
Ani PM namba zake nitamcheki haraka.
Vigezo:Asiwe mke wa mtu,awe binti kuanzia miaka 18 up to 24.
Asante.
Jumapili njema wana Jamii Forums.
Mwaka wa sita huu nikiwa hapa jijini Arusha kikazi na nimebahatika kutembea baadhi ya mikoa ila hii ya huku ni maajabu kwangu.
Wasichana wengi wana sura nzuri...
Wanawake wengi wanapenda kupewa zawadi na kutolewa out siku ya Valentine. Sasa endapo una mpenzi wako ambaye mara kwa mara anakununulia zawadi, anakutoa out, anakufanyia vitu special.
Kisha...
Hello wana Jamiiforums
Mimi ni mwanamke Wa miaka 25-30 . Kama miezi kadhaa nimejuana na huyu Kaka ni mkarimu kwa Kweli na ni mcha Mungu, hii ndio sababu kubwa ambayo imenivuta kwake. Kitu...
Habari.
Natafuta Mdada Mchumba Muislamu, Mtu Mzima wenye Umri Chini Ya Miaka 30, Elimu Kuanzia Diploma, Awe Mwajiriwa Idara Ya Afya, Elimu, Maendeleo Ya Jamii, Mdada Yeyote Ambaye Amekidhi Kigezo...
Hi guys.
I come to you cos I don't know where else to seek help kwa sasa. Ni hivi, nimezaliwa na kukulia Arusha about a score and a couple of years ago. Nimekulia katika maadili na nimepiga sana...
1. Anaahadi nyingi hazitekelezeki muongo.
2. Msiri hapendi kuweka mambo yake wazi.
3. Anakutafuta akiwa na pesa kwaajili ya starehe, akiwa hana hakutafuti kabisa.
4. Hajali matatizo yako.
5...