Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana Jamii forums Je kuoa/kuolewa na mlemavu wa kiungo/viungo yaweza kuwa sababu ya mtu kuchepuka eti kuna ukweli wowote kuhusiana na hili wanajamvi naomba tujuzane. Karibuni kwa mawazo
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wapo wanaume wasiojielewa na waoga wa kutisha, wasioweza kupambana na changamoto ni binti mrembo mtaani kwetu kachafuliwa ana HIV, kumbe ni uzushi tu wa mwanaume wake. Ili asipate upinzani kwa...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Ni msichana nina miaka24 natafuta mchumba mwenye kazi but except mwalimu awe mkristo.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakubadilishana nae mawazo age 22-26
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Nimeipata mahali, nami nimepaste kama ilivyo. Salamu zenu wadada wenye tabia hii; ~Yaanike matiti yako kwenye mitandao wee, yabane vizuri na vaa vinguo vya ajabu ili yaonekane... ~Jaa kiburi...
16 Reactions
45 Replies
7K Views
Heshima kwenu nyote. Nimeshaiona sana hii. Players/Playboys mara nyingi wanapoamua kuoa au ku-settle huwa wanakuwa na ma-dame ambao kwa namna flani wanakuwa chini ya kiwango kulinganisha na...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
tusaidiane hili.. Hivii.. Undugu wangu na niliyezaa nae unakujajeee??? Inapofikia mahali mahusiano yetu yamekoma kabisaaa!! No communication je huyu ni ndugu yangu?? Nitamuitaje.. Pale ambapo...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Ninaomba kama una mke au mpenzi usiniandikie. Maombi yawe kwa kuni pm sipendi iwe hapa sitaweza kujadili. Karibuni kwa urafiki na Kikrsto tu.
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Habarini wandugu. Jana nikiwa namalizia weekend yangu nilikuwa naperuzi jarida la Bang! nikakuta article moja ikielezea confessions from single women as to why they are more interested in...
3 Reactions
323 Replies
30K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tuanze kumshukuru Mungu, Lord we thank you for thy sisters Wema Sepetu, Jojo, Penny kwa kuachana...
31 Reactions
124 Replies
11K Views
Habari wana jamvi. Ni msichana mrembo niliyemuona kwa mara ya kwanza kabisa akitokea Sekei kuja kufanya kazi Mrombo.Nilishawishika kutafuta namba yake ya simu kwa kadri niwezavyo ili nipate...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Sijui ni mimi peke yangu au tupo wengi lakini mimi mwanamke kwangu hata awe mzuri vipi lakini kama sio bikira we cant date, forget about marring her. Nikitaka kuwa na relationship na mwanamke...
1 Reactions
63 Replies
9K Views
Habari wana MMU. Kuna rafiki yangu anajiandaa kwenda kujitambulisha ukweni Lushoto Tanga, sasa alikuwa anaomba msaada wa mtu anaejua utaratibu na hata kuorodhesha vitu vinavyotakiwa kwenye...
1 Reactions
55 Replies
20K Views
[SIZE=3]Mimi nipo Mwanza, nichek na +255689378927
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jamii Forums, naombeni mnisaidie aplication ya kupata text anazotumiwa mpenzi wangu.
1 Reactions
213 Replies
66K Views
Wakuu amani kwa wote. Unakuwa na mtu katika mahusiano kimapenzi kwa miaka 4, kisha anakuahidi utamwoa hivyo basi amalize kwanza shule form six kwakuwa hawezi kufanya tendo la ndoa kabla ya wakati...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jana nilikua naongea na binti mmoja nikiwa na lengo la kumpa ushauri iliaweze kuacha tabia ya kuchepuka, kwani huyo binti anadate na jamaa ninayemfahamu lakini binti anachepuka sana. Nilimwambia...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wana MMU Wadau tuambiane ukweli,hivi wewe unaesoma hii meseji hujawai kufanya tendo la ndoa mpaka unaolewa au kuoa Kama yupo atupe njia alizo tumia kushinda tamaa ya kuzini pindi ya...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Kiukweli nimejisikia uchungu, huyu ni jirani yangu hapa, Mama yake mzazi kaja kutokea kijijini anaumwa miguu. Kaona aje kwa mtoto wake apate kuugulia, mtoto kamfukuza kwa ushauri ya mke wake...
17 Reactions
64 Replies
9K Views
Habari za uzima wanajamii. Leo nimekuja na hili mnisaidie ushauri maana wakati wote naamini humu ndani kuna wazoefu na wenye hekima busara na ushauri wa kumrudishia hadhi mtu aliepatwa na...
0 Reactions
66 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…