Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wakuu, Natumaini mu wazima katika Sunday hii, imenitokea kumpenda dada mmoja ambaye ni muuza mihogo na tambi katika chuo chetu hapa mjini. Katika harakati za kumpa namba nilimpa P6...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Wana member,jana nilivyokuwa kazini, muda wa lunch nilikuwa na rafiki zangu wakawa wananiambia eti matajiri/ wasomi wengi huchelewa kuoa au kuwa na watoto je wadau sababu ni ipi hasa.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Natafuta rafiki wa kike kwaajili ya kubadishana mawazo hasa yahusuyo mahusiano na ndoa pamoja na mambo mengine ya kimaisha. warafiki wa kiume ninao wengi sana! sifa za msingi: miaka 18 hadi 25...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Natafuta mwanamke wa kufunga naye ndoa ,sifa zake awe ni mwisalm pia anayefanya kazi za kujiajiri ama kujairiwa elimu yeyote miaka kwanzia 20 mpka 35, kabila yeyote mimi namika 35 na elimu ya...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Mwaka 2014 umekuwa mwaka mbaya sana kwa wanaume wenye miguu na mikono miwili lakini wanalelewa na wanawake. Wanaume hao ambao jijini Dar wamekuwa maarufu sana kama ''Marioo/mtaji kiuno'' wamekuwa...
4 Reactions
49 Replies
7K Views
Dame awe mukristo namiaka 18 napia awe xireous
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika miaka ya hivi karibuni kuna tatizo limejitokeza la ndoa nyingi kuvunjika ndani ya mda mfupi.Kuna sababu nyingi sana zinazosababisha ndoa nyingi kuvunjika lakini sababu ya kukosa uaminifu...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Iam 21 years old, natafuta rafiki wa kchat nae, kubadilishana nae mawazo, umri wowote tu Kama upo tayari ni PM namba yako. Karibu.
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Kiukweli sijawai sikia iki kitu huyu kaka anadai ana tatizo ambalo hajui alimalize vipi eti yeye akimuona mdada akampenda akisema amtongoze tu basi ataanza kumuona wa kawaida tu, akimkubali...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Habari za wikiendi wanajamvi Jamani, inatokea tabia isiyokuwa nzuri ya mtu kumdharau mpenzi wake na kumtolea mfano wa mtu mwingine eti mbona yule yuko hivi wewe unashindwa nini na vilevile hata...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Tuwasiliane 0672759998
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Hamjambo wote MMU Nimejaribu kulifuatilia hili nimeona. Hawa wenzetu wanawake wana sauti zaidi ya moja kulingana na mazungumzo yenyewe".Kama ni mpenzi wako mkikutana na kuongea anaset sauti ile...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi kwanini mahusiano ya sikuhizi yana shida,kuna rafiki yangu yupo kwenye mahusiano mwaka sasa unakaribia, ila mpaka leo kaka hapajui kwa dada huyo na mdada hapajui kwa kaka huyo. Most of...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Mimi ni kijana, miaka 27; nimehitimu UDSM education, nasubiria ajira.Nyumbani mwanza, napenda nimpate mchumba anayeishi Mwanza, napendelea awe black beauty, mrefu wastani, asizidi miaka 25: mwenye...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimearibu kumtumia msg atusaidi humo ndani kuna nini sitafute odisi na hels zotee anazopata je anakimbia tra..ama ??embu mfuasi wa ndodi tusaidien tuwaconvience wateja waje wengine akisikia ndani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ni binti wa miaka 22 natafuta rafiki wa kike, awe anajiheshimu, anamawazo ya maisha, sio muhuni wala mpenda starehe za ajabu, awe anapenda kusali na mwenye hofu na mungu, msiri msafi na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za jioni ndugu za wa MMU. Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika uzi katika jukwaa hili baada ya kupata nafasi ya kulitembelea na kuvutiwa na mada za humu ndani. Mimi ni kijana mchapakazi...
1 Reactions
31 Replies
10K Views
Habari wana Jamii forums. Nipo tena kutoa udhoefu wangu juu ya maswala ya mapenzi,watu wengi huwa wanajiuliza sana swali hili,nitamjuaje kama mpenzi wangu ananipenda kweli,swali hili huwa ni...
2 Reactions
7 Replies
59K Views
Kila post naona natafuta mme umri miaka 30 na kuendelea,awe na degree.Je wale waliokuwa na elimu ndogo na umri mdogo hatuwezi kupata mchumba au mume/mke hapa Jamii forums.
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari wana jamii forums Naomba ushauri kuna rafiki yangu anategemea kwenda kuonana na rafiki yake wa kike huko Kigoma. Kwa mara ya kwanza kwani hawajawahi kuonana kabisa bali wanawasiliana tu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…