mimi nakubali ukweli as long as ni ukweli pure
Manka ongea kutoka moyoni mwako, ulishawahi kukubali kosa la kuvunja mahusiano??
Apologise lady....Mbona wanaume wengi tu wakiona kampa mimba binti wanakana macho meupe na kukimbia kabisa wadada machozi yao yanaishia kwenye khanga.
kukubali kosa au kukataa ni hulka tu ya mtu.
Wanawake wana roho za kike
roho ndogo
kukubali lawama lazima uwe na roho ya kiumbe
bigger heart