Sinza hakuna wife material

Sinza hakuna wife material

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Sijui nipoje wadau, yaani kama nimekutana na mdada nikaanza kumfukuzia ila kabla sijafika mbali nikagundua tu anakaa sinza basi naachana nae.Wasichana wanaoshi Sinza siwaelewi elewi yaani, naona kama wote ni wale wale wa Kona Bar.

Nawasilisha

Posted by: CHIPS DUME
 
Mmmmmh kwa hiyo wewe unaelewa mademu wa Mbagala? Ukiona mwanamke anakaa Sinza jua akili inachaji sana maana chumba cha sinza si chini ya laki moja, kwa hiyo inatakiwa umchunguze ujue kama anafanya kazi halali na ukigundua anafanya kazi halali

Basi huyo ndiyo wa kumweka ndani maana hutapata stress za kumwelekeza mambo ya kimaendeleo muda mrefu maana si akili zake zinachaji.
Sasa wewe ukiona wadada wanaokaa Masaki na Oystrebay si ndo inatimua mbio kabisa ukifikiri kuwa ni maji marefu kwako
 
Mmmmmh kwa hiyo wewe unaelewa mademu wa Mbagala? Ukiona mwanamke anakaa Sinza jua akili inachaji sana maana chumba cha sinza si chini ya laki moja, kwa hiyo inatakiwa umchunguze ujue kama anafanya kazi halali na ukigundua anafanya kazi halali basi huyo ndiyo wa kumweka ndani maana hutapata stress za kumwelekeza mambo ya kimaendeleo muda mrefu maana si akili zake zinachaji.
Sasa wewe ukiona wadada wanaokaa Masaki na Oystrebay si ndo inatimua mbio kabisa ukifikiri kuwa ni maji marefu kwako

Asantee
 
umekuja mjini leo kwahiyo hujaelewa content ya thread, jipange
 
Ninae anaishi sinza kijiweni, hana kazi lakini anaishi na nikijaribu kumchunguza sipati ukweli wake.
 
Tafiti sijui ushuhuda! waqt mwingine ni kutafutiana pressure bure! hiyo sample umefanya kwa wangapi? kwa nini kusiwe na silent research ukaishia huko huko kimya kimya!
 
Mkuu Kua Makini Sinza.Sinza Kumejaa Lundo La Madadapoa Ambao Ndo Wanaojiuza Maeneo Ya Ambiance,Meeda,San Ciro Na Sehemu Nyingine.Ila Biashara Zao Zinawalipa Vizuri Na Wanamudu Hata Kupanga Chumba Kimoja Kwa Kodi Ya Sh. Lakimoja Na Nusu Kwa Mwezi.Japo Sio Wote Ila Wengi Wao Ni Madadapoa.
 
Tusidanganyane hapa... kautafiti kaku kadogo kamegundua kuwa wengi wa wanaojiuza ambiance wanakaa maeneo ya tofauti na sinza hasa manzese,tiptop,magomeni,tandale e.t.c... sio kila wa sinza unaemwona ukadhani mala.ya. inawezekana hao wachache wa saizi yako ulokutana nao ndo madada poa,tena wanakaa kwa ndugu au wamedandia kwa marafiki
 
Kuishi sinza au k/nyama sio status tena.zaidi nyumba ndogo za vibabu ziko mitaa hiyo.
 
Tusidanganyane hapa... kautafiti kaku kadogo kamegundua kuwa wengi wa wanaojiuza ambiance wanakaa maeneo ya tofauti na sinza hasa manzese,tiptop,magomeni,tandale e.t.c... sio kila wa sinza unaemwona ukadhani mala.ya. inawezekana hao wachache wa saizi yako ulokutana nao ndo madada poa,tena wanakaa kwa ndugu au wamedandia kwa marafiki
ni kweli kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom