Nimepata shida ya kuwaza sana kwamba kuna kitu gani kinaendelea.Mchepuko kanifanyia nini?.Nikiwa na mchepuko wangu napiga show vizuri sana but nikiwa na njia kuu nashindwa kazi kabisa imefika...
Nieleweke si mimi ni mtu wangu wa karibu anahitaji.Ni mwanamke btn 30 to 35 mrefu kias,i mweupe,mchaga,elimu diploma,mkristo mcheshi, mkarimu ana hofu ya mungu ,naishi Arusha mengine mtazungumza...
mi ni mwanaume mwenye miaka 28.nimeoa mwaka jana na ni kwa shinikizo la wazazi wake hyo ni baada ya kumpa mimba..so nikawa cna jins ckumpenda kivile coz yeye ni black sasa tatizo langu napenda...
Mimi mwanaume nina miaka 28 nimeoa, tatizo mke wangu ni mvivu sana kwenye tendo la ndoa nikimpiga bao moja tu anatosheka analala.
Sasa ikifika usiku nikiwa nahitaji mzigo anabana katosheka na...
Wanaume wenzangu tunakosea sana tunapofunga ndoa na wanawake warembo. Wanawake wazuri wameumbwa ili watupe starehe kwasababu huwa wanatumia mda mwingi kujiremba na kufanya starehe kuliko kazi...
Wewe mwanamke hujaolewa, unakuwa na urafiki na mwanaumee aliyeoa. Baadaye urafiki unakolea na kufikia hatua ya kupiga mechi.
Alafu unanogewa na mechi, unaanza kuuliza maswali nonsense, mara...
JINA LAKO LITANIPA TB.
Mpango chupa za coka, umeleta sokomoko.
mpenzi nawe wataka, chupa yenye jina lako.
nimemaliza maduka, Kibaha mpaka Keko.
Mpenzi badili jina, nisije pata TB.
Nasasa...
Habarii za siku wandugu
Natoa shukran kwa wote waliompa ushauri rafiki yangu kupitia mm .nazan mnakumbuka niliwaambia rafiki yangu huyu alianza kuvutAa bangi kwa fujo baada tu ya kuachwa nA...
Mimi ni kijana ninaeishi Tanga nina mpenzi wangu lakini kutokana na asili ya familia yao wanachungwa sana na tangu tuwe wapenzi hatujawahi kuonana.
Kwasababu haruhusiwi kutoka ndani na akitoka...
Kuna huyu mheshimiwa mmoja na wife wake..way back about 15 years ago walikuwa wanakaa mitaa ya Forest na walikuwa na nyumba nyingine Block T.
Huyu mheshimiwa (tumuite Peter for the purpose of...
Habarini wadau,
Kuna suala linaleta shida kwangu pengine na wewe ulishawahi kujiuliza kipindi cha nyuma je ukiwa na ugeni wa watu wawili mke na mme au baba yako na mama wanakutembelea ni sahihi...
Katika maisha kuna vitu vingi Sana, na kila kukicha ndipo tunazidi kujifinza mambo mengi kadiri ya jinsi tunavyojitahidi kujichanganyaa na watu wwngine toka sehemu mbalimbali,
Kuna hii kitu...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Mkesha vipi people?)
Husika ni kichwa cha habari hapo juu. Ujue unaweza shangaa mwanamke mvuto F ila anatoka na mabwana wa...
Nimeona nilete hii mada tupeane elimu juu ya mavazi sahihi ya kulalia usiku kwa wanandoa licha ya kulala kwenye kitanda kizuri ama kibaya, namna ya ulalaji imekaaje?
Unakuta mfano; mume na mke...
Mimi sitasahau kisa hiki,
Wakati namtokea mdada mmoja ambaye baadaye alikuja kuwa mke mwema, Mwanzoni alinikubalia lakini baadae alisita sijui kwa kuhofia uongo wa vijana wa Chuoni maana nilikuwa...
Hivi nini hasa sababu za wanawake kuamua kukata mawasiliano ghafla na wapenzi wao?
Nina mpenzi wangu ameamua kukata mawasiliano ghafla sasa sijui ni tabia ya kike au ndo nishaachwa.
Naombeni...
MIMI NI KIJANA WA MIAKA 21. NAJITOKEZA KATIKA UKURASA HUU KUTAFUTA RAFIKI WA KIKE AMBAYE KAMA TUTARIDHIANA, TUJE TUISHI PAMOJA KAMA MUME NA MKE HAPO BAADAYE. NASOMA MWAKA WA KWANZA CHUO FULANI DAR...
Habari zenu wakuu,
Nina demu wangu lakini kwasasa hayupo nchini kwa takribani miezi sita na anatarajia kurudi nchini mwezi wa kumi mwaka huu.
Katika kipindi chote hicho nimekuwa nikiishi bila...
Ndugu zangu wa Kanda ya Ziwa na sehemu zingine tofouti na ukanda wa Pwani mtanisamehe sana. kutokana na usaliti wa kutowashambulia hawa wanaume mdebwedo wanaoishi Dar.
Najua ukweli unauma lakini...