Hiv nani zaidi ya mwingne kati ya hao?

Hiv nani zaidi ya mwingne kati ya hao?

Ngumba majora

Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
63
Reaction score
19
Jaman naomben msaada wenu ktk jambo hil
"Hiv ktk dunia hii ya leo nan anaongoza kwa ku cheat kat ya mke au mume ktk ndoa na walio ktk uchumba?"
 
Mmmh wote bwana sahv hkun HT alomzid mwenzie ngoma droo
 
Inategemea mtu na mtu jinsi gani anavyoihusudu ngono.
 
Back
Top Bottom