Naombaa kwa muda huu tuzungumze hili jambo

wazabangah1

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
315
Reaction score
114
Katika maisha kuna vitu vingi Sana, na kila kukicha ndipo tunazidi kujifinza mambo mengi kadiri ya jinsi tunavyojitahidi kujichanganyaa na watu wwngine toka sehemu mbalimbali,
Kuna hii kitu, kuanzisha mahusiano na binti na katikati ya mahusiano, ndiipo unapogundua kua mtu ulienae tayari alikwisha bahatika kupata Mtoto, na mwanaume mwingine, na katika miezi takribana mitatu unakujaa gundua tayri hapo alipo anaujauzito, sasa swala hili linakupelekaa kuulizaa kua Kama bado wako na mawasilianoo na muhisika wa mtoto, anachokujibu nikua kweli alibahatika kupata Mtoto ila nikipindii cha zamani Sana akiwa shulen, na muhusikaa hayuko na mawasiliano mazuri naee, yaani namaanisha si mtu wakuwasilianaa nae Mara kwa mara, nahilo naweza kusema ndio kwasababu hata simu yake maranyingi unaweza kuta iko off na inawashwaa kwa manati Sana, ila kwakwelii ni mwanamke mtafutaji na mvumilivuu na upendo uko miongoni mwetu, ila kinachonipa wasiwasi zaidii niswala lakuweka ndani hii mamayeyoo, nahisii Kama ilee njembaa itakujaa tena kuperuzii halafuu nikatoa adhabu ikawa ni maswala ya kuanzaa kuvua samaki kwenye vidimbwii vya maji machafuu yaani nahisi Kama sitowezaa kuvumilia. Wadau naombenii mwangaa kwa hilii naamini hapataharibika kituu.
 
sawa.....................
 
Mara nyingi wanawake huwa wanakumbushia kwa wazazi wenzao (mara nyingi sio mara zote) hususani kama kunakuwa na mawasiliano ya mara kwa mara kisingizio kikiwa ni kujadili hatima ya mtoto, kufuata hela za matumizi ya mtoto, school fees nk nk nk. Cha msingi ni kumuamini kwa kuangalia mwenendo wake in relation to Mzazi mwenzake..kama iko poa we oa ila kuwa makini kwa visingizio hivyo hapo juu..kwa kuwa we ndo utakuwa mlezi wa mtoto basi una haki ya kuwa kiunganishi kati ya mzazi mwenzake na mkeo, mkeo mwenyewe na mtoto...they dont have to meet privately
 
Piga chini huyo na maisha yaendelee..mbona simply like a..b..c
 
Mara nyingi wanawake huwa wanakumbushia kwa wazazi wenzao (mara nyingi sio mara zote) hususani kama kunakuwa na mawasiliano ya mara kwa mara kisingizio kikiwa ni kujadili hatima ya mtoto, kufuata hela za matumizi ya mtoto, school fees nk nk nk. Cha msingi ni kumuamini kwa kuangalia mwenendo wake in relation to Mzazi mwenzake..kama iko poa we oa ila kuwa makini kwa visingizio hivyo hapo juu..kwa kuwa we ndo utakuwa mlezi wa mtoto basi una haki ya kuwa kiunganishi kati ya mzazi mwenzake na mkeo, mkeo mwenyewe na mtoto...they dont have to meet privately

Ahsantee mkuu, ngoja tupite huko kwa makini
 
Mtoto sio dhambi tatizo wanawake wengi huwa wanaficha jambo hilo, kuwa makini tu juu ya uhusiano wao hao wazazi wenza!
 
Don't cross the bridge before you reach almuhimu mpe nafasi ndoa na mahusiano hayana fomula kama hisabati so usitumie uzoefu wa watu wengine inawezekana akawa innocent so give her a chance to prove it
Kila mtu na nafasi yake ku generalise inakuwa humtendei haki so be patient
 
Back
Top Bottom