Wewe mwanamke hujaolewa, unakuwa na urafiki na mwanaumee aliyeoa. Baadaye urafiki unakolea na kufikia hatua ya kupiga mechi.
Alafu unanogewa na mechi, unaanza kuuliza maswali nonsense, mara uulize kwa nini umewahi kuoa, ungechelewa kidogo ungenioa, ungekuwa hujaoa ningekomaa hadi unioe.
Sasa unajua hakika sentensi yako na malalamiko yako ni dua la kuku ambalo halimpati mwewe, badala ya kuplan ahead, unaangalia nyuma ambako huwezi badili chochote.
Mwingine, king'ang'anizi, ooh una watoto wazuri nizalie na mimi mmoja. Hivi mnafikiri ni rahisi kihivyo eeeh!
You need to be clever like Lara1, otherwise mtapembuliwa bure free p na hakuna future