Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

People who have a TV in their bedroom have 50 percent less sex than who don't.Although average of times a man will ejaculate in lifetime 720.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni mfanyakazi idara ya fedha katika halmashauri flani hapa Tz, natafuta mchumba au mke wa kuoa ambae yupo tayari na awe ni muajiriwa serikalini pia.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanawake wengi ambao hawajaolewa ni wagomvi sana, hasa akishtukia kuwa huna habari naye kabisa lakini mna tu ukaribu, mfano wa kikazi au kama vile kuwa Jf wote. Wengi wana uelewa mdogo, mfano...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Habari wana JF, Katika kujenga uzoefu zaidi wa kimahusiano hatimae nimejifunza kitu kwamba kumbe ndivyo inavyokuwaga. Imekuwa ni siku kadhaa kabla sijabadilika status na kuwa mtu mbaya sana kwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za siku wana MMU, Mara nyingi wengi wetu tumekuwa tukiumiza hisia za wenzi Wetu bila kujua. Kumuumiza mtu mwingine kihisia ni ile hali ya kusababisha emotional discomfort kwa mtu mwingine...
5 Reactions
26 Replies
5K Views
Kama kuna mwanamke aliwahi kukutenda huko nyuma, husifikirie kwamba wanawake wote wako hivyo. Maranyingi sana utaona kwasababu mwanamme huyo alipitia experience mbaya ya mahusiano,kwa msichana...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari members wote, Naomba kuuliza kama kuna mahusiano ya dhati kizazi hiki. Namaanisha upendo wa kweli kwa pande zote. Mtu yupo tayari kumtetea. Kumlinda na kusimama nafasi ya mpenzie kwa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Mapaja ni sehemu nyeti katika mwili wa mwanamke ambayo hupelekea mwanaume kusisimkwa pindi ayaonapo au kuyapapasa. Miaka ya nyuma kuyaona mapaja ya mwanamke haikuwa rahisi mpaka akufunulie sketi...
3 Reactions
66 Replies
22K Views
Awe Muislam, kuanzia miaka 35 na kuendelea, awe na shughuli ya kufanya, awe anajua maana ya ndoa na miiko yake. 0765288383 au 0782190718
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MImi ni mwalimu primary nina miaka 24, natafuta mchumba wa kuoa. mawasiliano ni 0683708181
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Heshima kwenu mabibi na mabwana, Kama wewe ni msichana na umeshavuka miaka 30 bado hujaolewa na wala huna mtu wa kueleweka ambaye amejitambulisha kwenu tambua kwamba una hali mbaya. Wasichana...
3 Reactions
54 Replies
8K Views
Habari wanajamvi, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kimojawapo hapa dodoma,nipo hapa kutafuta rafiki wa kike kutoka chuo chochote,hata kama sio mwanachuo nafasi ipo,npo serious katka hili dada...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
sina bahati! closed!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Msichana mzuri na mrembo mwenye sifa zifuatazo anipm; education level:4m6 to bachelor degree Age:18-23 religion:christian Healthy status: not having HIV/AIDS Virginity: you must have a virgin...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Nasubiri inbox. lol sina mengil.
3 Reactions
13 Replies
3K Views
[SIZE=3]Mimi if we will agree, ]
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Usikubali kutoa mimba kwani ni dhambi,ukitoa mimba yule mtoto atatoa ushahidi siku ya hukumu na hakika hutapona hukumu ya Mungu. Nakushauri kama umewahi ktuoa mimba tubu haraka sana kwani hakika...
3 Reactions
26 Replies
9K Views
Mimi ni kijana 25 years nipo dsm, awe tayar kupima afya, mengine tutafahamiana zaidi. check me: saangap@gmail.com or PM. Karibu.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari za jumapili tulivu, Leo tuguse guse hili jambo kwa kukumbushana tu katika mapenzi, hii ni msaada zaidi kwa wanawake ambao hawajawahi kufika kilele kwa ile namna ya ku squirt, sio wanawake...
9 Reactions
146 Replies
43K Views
Serious nahitaji mwanamke aliye single wa umri huo ili awe wangu forever nina 27years now. Njoo pm ukihitaji.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…