Kuna jamaa yangu yupo kwenye ndoa kwa miaka saba na hajafanikiwa kupata mtoto..hivi karibuni analikuwa ananipigisha stori fulani hivi ambazo nilikuwa sizielewielewi.
Juzi amekuja kutoka Morogoro...
Siku hizi ni kama fashion ama sielewi,
MALEZI ya mtoto kwa baba na mama kulelewa pamoja hamna. Nimechunguza nikaona sabb kubwa ni ndoa kutokudumu.
Swali langu, nini kifanyike watoto wetu wapate...
Jamani mimi ni yuleyule kijana nilieomba ushauri kuhusu tohara, matokeo niliyopata wengi walisema ni niende kutahiri, sahivi nimeshafanyiwa tayari nipo tu napumzika.
Sasa naombeni tena ushauri...
A lot of men discuss with their friends if they think their girl is wife material. If you are in your mid-late 20′s, you are probably at that stage where there is no point in dating a girl...
But first, a disclaimer. I am a dude who has slept with a modest number of women, but zero guys. Thus, I have never talked dirty to a guy, much less to a representative statistical sampling of...
Habari wana JF,
Nami wacha nitumie fursa hii kutafuta rafiki wa kike baada ya kuwa mpweke kwa zaidi ya miezi minne mimi ni mtumishi na nina miaka 30 naishi Dar.
Sifa:awe...
Jaman wana Jf,
Mimi nikiwa kama mtumishi wa Mungu nimeona wengi mnaweka mada nyeti hapa za ndani kabisa, jambo ambalo sio jema na hata hivyo wengi wanaochangia wanajoke tu.
Kwa hiyo kama una...
jamani nataka tuangalie tofauti kati ya "umalaya" na "ukahaba"
UMALAYA: ni ile hali ya mtu kutaka kuwa na mahusiano ya kimapenzi na zaidi ya mmoja, na akifanya ivyo yeye huwa anajickia raha, au...
Wajemeni katika vitu vigumu kufanya kwenye maisha ni kupima HIV/UKIMWI hasa ukiwa hujatulia michepuko mingi, miezi ya juzi kati nilifululiza kupiga papuchi, nilikaa kwa mda nikaona bora nikacheki...
Ni mgeni humu naombeni ukaribisho,
Mke mtarajiwa wa rafiki yangu kachepuka baada ya kumuuliza kwa siku nyingi hatimaye kakiri wazi na kaomba msamaha asamehewe. Je rafiki yangu afanyeje? Pia...
BAADA YA KUCHUNIANA KWA
MUDA MREFU
MPENZI WA KIKE ANAAMUA
KUMPIGIA MSELA
WAKE SIMU.
Simu inaita kwa mara kwanza hadi
inakatika
bila kupokelewa. Manzi hakati
tamaa, anapiga
tena na baada ya ngrii...
Ipo hivi, ukimkuta mwanamke ambaye halitaki kabila lake ikitokea ukamuuliza hivi wewe ni kabila gani utaona anakujibu mimi ni mchanganyiko wa Mchaga na Mmakonde.
Sasa kama wewe ni mgeni hapa town...
Nashindwa kujizuia kumwambia Mungu asante sana baada ya mchumba kujifungua salama mtoto wa wake marafiki wa JamiiForums nawashukuruni kwa maombi yenu namwomba Mungu azidi kuwabariki nawatakieni...
Wanajamvi ,
Napenda kuuliza pia kufahamu kuna ubaya mtu na kaka yake kuoa familia moja au mtu na dada yake kuolewa na familia moja, hii imetokea baada ya rafiki yangu walitengana na mpenzi wake...
We all sin, that's a fact. The thing is, everytime i do something good for somebody, deep down i believe it erases some of the bad things i've done in the past off my judgement book, and i feel so...
Wanasaikoloji wanasema,
Sura ya mtu na jina huriflect na tabia yake, sasa nilikua najiuliza humu JF hatufahamiani but naona kama nikitazama avatar ya mtu mmoja mmoja ni kama vile inaindicate...
Habari za saa hizi marafiki,
Leo tuongelee kuhusu jinsi ya kujipenda na kuwa na furaha bila kutegemea watu wengine.
Ukiwa unajitegemea kifikra ndio mwanzo wa kujitambua na kutambua mahitaji na...
Kwenye jamii ya Kitanzania naona mume anapofariki pole nyingi anapewa mchepuko na ata watu kufikia kusema ni pigo kubwa sana kwa mchepuko, je yupi anayestahili pole? Je mke wa ndoa utajisikiaje...