Playboy
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,170
- 945
Wanajamvi ,
Napenda kuuliza pia kufahamu kuna ubaya mtu na kaka yake kuoa familia moja au mtu na dada yake kuolewa na familia moja, hii imetokea baada ya rafiki yangu walitengana na mpenzi wake kwa miaka kama mitano hivi.
Kwa sababu za kimasomo now wamekutana tena na huyo rafiki yangu anataka kumuoa huyo binti, tatizo lililopo ni dada wa mpenzi wake kaolewa na kaka wa huyo mshikaji wangu.
jamaa anaomba ushauri jee ikitokea akamuoa huyo mpenzi wake kuna tatizoo.