Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Jaman wana Jf,
Mimi nikiwa kama mtumishi wa Mungu nimeona wengi mnaweka mada nyeti hapa za ndani kabisa, jambo ambalo sio jema na hata hivyo wengi wanaochangia wanajoke tu.
Kwa hiyo kama una tatizo katika ndoa au mahusiano kitanzia sasa naomba uni Pm nitakujbu kwa usahihi na Mungu atakusaidia sawa.