Jamani mimi ni yuleyule kijana nilieomba ushauri kuhusu tohara, matokeo niliyopata wengi walisema ni niende kutahiri, sahivi nimeshafanyiwa tayari nipo tu napumzika.
Sasa naombeni tena ushauri wenu nitumie nin ili niweze kupona kwa haraka zaidi, na hints zingine zozote ninazoweza zifanya, alafu dokta kasema amenitahiri Masai style" sijajua ndio nini hii.
Msaada tafadhali