sir Ganto G
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 573
- 114
Habari wana JF,
Nami wacha nitumie fursa hii kutafuta rafiki wa kike baada ya kuwa mpweke kwa zaidi ya miezi minne mimi ni mtumishi na nina miaka 30 naishi Dar.
Sifa:awe anajitambua,flexible,msafi wa kila kitu,anayependa kujifunza na awe japo ni mhitimu wa kidato cha sita
Umri:kuanzia miaka 23 na kuendelea
jamani huu si utani kwa yoyote mwenye nia ani pm,sihitaji maneno mengi.
Mambo mengine yatajulikana tukianza kuwasiliana.