Ushauri: Wanawake wa Kipemba

Ushauri: Wanawake wa Kipemba

mutant gene

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
876
Reaction score
326
Habari zenu wandugu,

Kila mtu anafahamu jinsi wanawake wa kipemba wanavyopenda kujishughulisha na bihashara(japo ni ndogo ndogo) lakini sio sawa na wanawake ambao wanakaa bure tu wakisubiri kuhongwa. Kwa hili naomba niwapongeze wanawake wa kipemba. Mnajitahidi sana mbarikiwe sana.

Lakini tukiachana na hilo, kuna hili suala la usafi. Kwa usafi dada zangu wa kipemba mmefeli sana.Unakuta dada mchafu, mwili mchafu, miguu imekatika imeota mautandu, mavazi machafu na mazingira yanayowazunguka. Kwa hili jirekebisheni dada zetu wa kipemba. Usafi ni kitu muhimu sana kwa binadam.

Wenu mtiifu,

Mutant gene,

Ahsanteni
 
Tatizo la hao unaowapongeza ni suala la usafi hususani kwenye biashara za chakula.
Umenikumbusha wakati naishi nao jirani maeneo ya mwananyamala jijini #Dar yaani ni shiida.

Sasa basi nikiwa kwenye workshop ya kazi zangu kule pemba, kwa kufanya biashara wapo sawa (&#8730😉 lakini kule ndiyo nilichoka kabisa yaani USAFI ni (0), na ole wake ukute anafuga paka oooh mash allah..!!
 
Mkuu TODAYS kwahiyo comment yako naimani watajirekebisha. Kama unasoma hapa ewe mwanamke wa kupemba basi mjirekebishe.usafi muhimu sana kwa binadam!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu zajuza2000 hakuna ugomvi hapa tunawakumbusha tu!!
 
Last edited by a moderator:
Mwenye akili timamu hakurupuki....Hapa kuna jambo
 
Kama wamo humu na wanasoma, wanaweza kuambiwa pia na jamaa zao walio jf ili mabadiriko wayafanye.
Mkuu TODAYS kwahiyo comment yako naimani watajirekebisha. Kama unasoma hapa ewe mwanamke wa kupemba basi mjirekebishe.usafi muhimu sana kwa binadam!
 
Last edited by a moderator:
Wete watu wanaenda haja kubwa baharini tu na hawana wasi wasi wowote
 
Mkuu zajuza2000 hakuna ugomvi hapa tunawakumbusha tu!!
Hata mm nawashangaa maana hata huku kwetu Bara wapo na ni wachafu hasa
labda ni gia la wao kutoingilika (kutongozwa)
lakini Wanaume wao hawaishi kuhonga wake za watu na wawapatapo wako radhi kufilisika kwani hawamuachii ng'o labda wafumwe.
sijui huko Pemba tofauti ya Wanawake na Wanaume ni vp (mwanamke wa liPemba ni mgumu sana kuingilika licha si msafi)
c.c.
TODAYS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom