Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

How do I start? Where do I begin? I've been hurt so much. I just need a friend Could it be you? Will you break through these walls? Are you willing to help them fall? I want to love again, but...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jina naitwa jeffa Chibah nina miaka 22 natokea kibaha ni mwanachuo kampala univecity nahitaji mpenzi jamani awe na miaka mwisho 22 na awe anajitambua. Namba yangu 0752832215
0 Reactions
0 Replies
967 Views
nashukuru sana kwa michango yenu
1 Reactions
64 Replies
10K Views
Wakuu, Mara ya mwisho nilikuja kwenu nikiwa na tatizo la mchepuko wangu kuwa na matumizi makubwa sana yanayozidi uwezo wangu na ukorofi Wa wife uliopita kipimo.Mchepuko niliamua kuupiga chini na...
3 Reactions
73 Replies
12K Views
Jamani nimerudi tena nilipost ombi langu hapa kuwa nahitaji mwanamke wa kumuoa nimedhamilia na wala si utani age yangu ni (30) na nimeajiriwa serikalini! niliomba kuwasiliana nami kwa Pm kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
I hope Jumapili inaenda vema wakuu, Katika siku za hivi karibuni nimekuwa nikipata msukumo mkubwa (inner drive) ya kuwa na mtandao mkubwa wa marafiki ili niweze kujifunza kutoka kwao hasa watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu jana amenuna kisa... Muda sasa umepita tangu awe na mawasiliano na wanawake wawili, mmoja ni binti wa miaka 24 ambaye alinitambulisha kuwa ni mtumishi mwenzake anayefanya kazi kwa...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Nimekuwa nikiangalia Avatar na Signature kila nisomapo post ya mtu yeyote ndani JF. Nimechukua Signature ishirini kama mfano bila kufuata mpangilio wowote ndani ya MMU lakini nikazipanga kwenye...
16 Reactions
159 Replies
11K Views
Habari wanajamvi, Nadhani sisi wanaume wa Kisukuma ndo tunaongoza kwa kupenda na kujali wanawake zetu. Hii inachagiwa hasa kwa kuwa asili ya Wasukuma ni wakarimu sana, wapole, wanyenyekevu...
0 Reactions
81 Replies
16K Views
Kichwa cha habari chahusika,Lukelo Sakafu ameniagiza niwataarifu wana jukwaa wote kuwa usiku wa leo ni wa tofauti sana kwake na utakuwa ni usiku wapekee tangu amezaliwa mpaka leo. Pia...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Binafsi nilianza kuchepuka miezi nane tu baada ya ndoa. Waifu alikuwa mjamzito so nikawa spati mambo kama inavyotakiwa nikaona njia rahisi ya kujiridhisha ni kuchepuka. Nikaanza na x wa mshikaji...
4 Reactions
22 Replies
7K Views
Habari wadau, Naombeni ushauri. Kuna demu mmoja nampenda sana ila tangu tuwe kwenye mahusiano, ni muda sasa. Mpenzi wangu huyu simuelewi coz muda mwingne nampigia simu hapokei, nikimuuliza...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habarini wadau, Moja ya sababu kubwa sana ya kuvunjika kwa ndoa nyingi ni pale mwanamke/wanawake kutaka usawa na mwanaume especcially katika kufanya maamuzi mbalimbali, hata vitabu vitakatifu...
3 Reactions
119 Replies
12K Views
Wakuu habari zenu, Kuna binti nilimpa mimba mwaka 1995 wote tukiwa wanafunzi wa kidato cha nne mjini Mwanza na wote tulisoma shule moja na darasa moja. Alipoitwa na mkuu wa shule kuhusu tetesi za...
1 Reactions
198 Replies
18K Views
Miziki leo jamani , jihadharini!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu, Ni hivi nimeolewa, mume wangu ana watoto 2 kabla ya ndoa yetu nasi tuna watoto wawili. Wote ni waajiriwa nje ya jiji la DSM. Baada ya kuoana tukaanza maisha nikajikuta naachiwa...
0 Reactions
99 Replies
12K Views
Wanajamvi habari za leo, Naomba kushare na nyinyi kitu hii, Kuna mfanyakazi mwenzangu ana familia mke wake na mtoto wako mkoani lakini cha kushangaza anaweza kukaa mpaka miezi tisa hadi kumi...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wanawake toka visiwa vya Unguja na Pemba wameandamana kupinga wanawake wa kutoka Tanga kuwaibia wanaume zao. Wanawake hao wamedai waume zao wakinaswa kwenye mapenzi kwa wanawake toka Tanga basi...
1 Reactions
82 Replies
11K Views
Habari zenu, Niwashukuru sana kwa mda mliochukua kunishauri na mambo mengine. Mke wangu aliniita akaomba niongee naye tena huku analia. Ilikuwa vizuri sana. Mie kwenda mbali kwa siku kadhaa ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hatimaye kesho, saa tisa mchana katika kanisa la SINZA KKKT, kijana wenu Lukelo Sakafu atafunga pingu za maisha na queen of bongo. WanaJF wote mnakaribishwa kumpatia support member mwenzenu. Pia...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…