chakufia nini
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 692
- 456
Binafsi nilianza kuchepuka miezi nane tu baada ya ndoa. Waifu alikuwa mjamzito so nikawa spati mambo kama inavyotakiwa nikaona njia rahisi ya kujiridhisha ni kuchepuka. Nikaanza na x wa mshikaji wangu then huyu dada ninayefanya nae kazi, a single mom. Bidada alikuwa fundi kweli kweli, nilikuwa napewa style na mambo ambayo kwa kweli yalinizingua balaa almanusra nitangaze kuoa mke wa pili kimya kimya kwani tulikuwa tushaanza makubaliano ya awali ya namna ya kuishi, kuzaa na kulea kimya kimya provided mtoto akifikisha umri wa miaka 3 na kuendelea then naweza kumtambulisha kwa wazee kijijini na kufunga ndoa ya kimila. Sikuwahi kupata tatizo zaidi ya kwenda nje ya budget yangu ya mwezi though bidada alikuwa akiingilia kati kunipiga jeki kwa hali na mali. Nikajikuta kwamba sina kitu nachoweza kusave kila mwenzi, napata hela natumia hadi inakwisha then nasubiri mshahara ujao. Hayo ndio yakawa maisha.
Baada ya kufikiria sana, akili ikaanza kurudi kidogo kidogo. Nikawa najiuliza hivi kweli mbona mke wangu anaonekana mzuri sana kuliko huyu bidada hata tukitoka out waifu anaonekana kukimbiza? Nikasema hapana kwani mke wangu amepungukiwa nini? Taratiibu nikaanza kumfundisha waifu yale mastyle na manjonjo niliyokuwa napewa na kufanyiwa na bidada. Mwanzoni waifu alinishangaa sana kuwa mastyle ya aina hiyo nimeyatoa wapi? Nikawa namjibu simple tu kuwa mbona huwa yapo ila tu hatujawahi kuyatumia.
Baada ya mwezi mmoja hivi waifu akaongeza nae manjonjo yake basi kawa balaa kuliko hata mchepuko, nikaanza kupunguza availability kwa mchepuko, mara wiki mara wiki mbili, mwezi na sasa miezi minne nafurahia na naridhika zaidi kuliko kawaida. Hivyo ndivyo nilisolve tatizo la mchepuko. Bidada yupo, ni lawama tu kila kukicha kuwa niliuteka moyo wake na kumkacha kwa muda mfupi.
NB: Niko serious, akina baba tuliooa try this, am sure lazima upate majibu chanya. It works!!!!!