Habari wana JF,
Nimekuwa single kwa muda mrefu sana kama miezi 9 hivi, lakini hivi karibuni nilikutana na kijana na nikampenda sana baada ya kukaa nae kama wiki mbili tukiwasiliana aliomba aje...
Habari wana MMU,
Ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi hapa ingawa ni msomaji mzuri sana wa mada mbali mbali za jukwaa hili kwa muda mrefu, leo naombeni na mimi mnishauri kwa haya yanayonitokea...
(CNN)Three players (Tom Hopper, Adam Smith and James Pearson) for English football club Leicester City, including the son of the club's manager, have been sacked after video surfaced of them...
Nimeona tujadili kirafiki zaidi pia kwa kutambua experience mbalimbali za watu.
Juzi katika pitapita zangu humu mitandaoni nikaona article moja kwamba UKIMWI wa miaka hii (kuanzia 2000) hauna...
Hi,
Iam a man aged 30 yrs looking for a woman who will marry me aging 25-31 yrs,white in colour and natural not artificial. Her education at least a Diploma-Masters, emotionally woman you are...
Najua mmepumzika majumbani mwenu mkimalizia weekend,
Hapa kwenye shirika letu kuna jamaa mmoja ambae anaishi na HIV kwa muda mrefu sasa, wote na mkewe wanahudhuria kliniki kwa zaidi ya miaka...
Wakuu,
Mapenzi bwana acha tu, niimetongoza mademu kibao wengi wao wakiwa wazuri wa sura mana ndo ugonjwa wangu.Wapo waliokubali, waliopotezea bila kunijibu na walionikataa.
Lakini katika...
Nimekuwa na mahusiano na dada mmoja kwa miaka minne. Ni msomi tu mzuri na mrembo. Amenifanya boya sana baada ya mimi kumpenda. Tukiwa kwenye mahusiano ya kuelekea kufunga ndoa kanidhalilisha sana...
Player to player, man to man, if there was a way of forcing you to marry the last chick you did the nasty with, how many of y'all would be happy to, and how many of us would rather go bungee...
Wana JF,
Si mgeni sana hapa, nimesoma post na third nyingi pamoja na kejeli nyingi na kukatishwa tamaa wenye kutafuta wenzi lakini mi sijasita kutafuta bahati yangu. Ninahitaji la mwanamke wa...
Mwanamke yeyote ambaye hana uwezo wa kupata mtoto yaani tasa umri miaka 30 mpaka 39, tuwasiliane
awe na umbile kubwa na la kupendeza e-maill Ahmed_samwel@yahoo.com
Wanajamvi poleni na majukumu,
Jambo hili lilinipa utata baada ya kuona mji fulani mme na mke wanagombana kisa mke jana hakumpa mme wake maji ya kuoga.
Swali langu, Je kuna ulazma mke ampe maji...