Kwa maana hiyo ujijui unauliza nini!Au umri unasumbua kwani Ukristo talaka yake kifo,Uislamu talaka inaanzia moja hadi tatu kama ukisikia kaachwa talaka Tatu ujue iko kifaa hakitorudiwa tena mpaka kiolewe tena,Pitia pitia mawaidha ya waislam hata Youtubu uielewe dini ya wenzetu,,,
Ndoa ya Bomani haina talaka tatu mkioa siku mambo yamekwenda kombo ukipenda mnapelekana Mahakamani uko ndio mnaacha kwa kuandikishiana kisheria kwamba mmeacha na mko huru kuoa au kuolewa..
Hivyo ndio mambo yanavyokwenda zaidi waliotangulia aua wajao watachangia zaidi..