Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwezi uliopita tulikua semina mimi na wenzangu kama watano hivi mkoani, staff wetu wa zone hiyo walikusanyika hapo mkoani kwa ajili ya capacity building. Sasa kuna mwenzetu mmoja aliamua kuondoka...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarini? Jamani ukweli kuna tabia za watu zina kera sana, sijui nikukosa ustarabu, sijui ni ushamba, sijui nini ila zinakwaza sana. Tabia ya mtu anakuja nyumbani kwa mtu(mgeni) lakini ni...
5 Reactions
114 Replies
13K Views
Wadada warembo wao wamebobea kwenye kuchagua mavazi tu ya kumpendezesha lakini kwenye unyumba wazito sana,yaani panapo 6*6 wao hulala tu kama vile yupo matanga.
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi desemba nilienda kumtembelea binamu yangu alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya ukonga. Kuna matukio yanayotokea na kunishangaza,sasa...
1 Reactions
128 Replies
30K Views
Habari zenu ndugu wajenzi wa amani, Ndio unapodhungumzia mapenzi unaijenga Amani kwa kanuni ile ile ya Upendo.Ndugu yenu nina wazo nadhani njaa hizi zimepelekea nikafikia kuwaza kuanzisha Chuo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mim naomba ushaur utamjuaje mpenzi wakweli maana mim nina mpenz wangu kila Mara anasema yuko busy hata simu hapokei Mara nyingine ukimuuliza sababu anasema yuko busy
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Upi umri unaofaa kuanza mapenzi kuna tatizo gani mtu anaeza kupata kama aujafika umri huo? Mfano mtu anatakiwa aanze akiwa na miaka 18 lakini akaanza na miaka 14 kuna tatizo gani anaweza kupata?
0 Reactions
18 Replies
15K Views
Wanawake wa siku hizi utawasikia mimi nataka mwanamme wa ukweli ambae yuko real wakati ukimuangalia yeye ana hips fake, makalio fake, rangi fake sasa utapataje mwanamme ambae yuko real wakati wewe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JamiiForums! Kwa mara ya kwanza naingia humu kumtafuta ambaye atakuwa mtu wa karibu maishani mwangu. Nina miaka 29, ni Mkristo, ninafanya kazi katika shirika binafsi na nina elimu...
5 Reactions
79 Replies
14K Views
Natafuta mke kwa mara nyingine coz bado sijampata awe mwalimu au nurse umri wake 22-24 mrefu kiasi umri wangu 25yrs
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Kila nikiwasiliana na mpenzi wangu wa zamani msichana wangu baada ya maongezi ananiambia ''msalimie malaya wako'' au tukigombana kidogo anasema ''usinifananishe mimi na malaya wako''. Wakuu hivi...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Maybe this decision was a mistake. You probably don't care what I have to say. But it's been heavy on my mind for months now. Guess I'm trying to clear some mental space. I would love to talk to...
0 Reactions
3 Replies
876 Views
Habari za muda huu ndugu zangu kuna jambo moja limenishangaza nikaona sio vibaya tukishirikiana kulitatua kama nitamkwaza mtu naomba aniwie radhi nipo na girlfriend wangu kwa muda mrefu bila...
0 Reactions
53 Replies
11K Views
She's Independent No one gets into a relationship to be a babysitter. If she's had a rough day at work, it's great to be her shoulder to cry on. But if she can't seem to function without you...
6 Reactions
60 Replies
6K Views
(PMU) PATA MIMBA UOLEWE Ni bonge la mbinu liliobuniwa na wanawake wachache wanaopenda ndoa. Hii Mbinu imezaa ndoa nyingi ambazo Hazijatoka Kwa Mungu ila zimetoka kwa mjamzito mwenyewe. Sawa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani nyie wanaume kwanini unakuta mtu anarudi home saa sita au saba usiku bila sababu ya msingi halafu amelewa huyo. Hivi kweli mnavofanya ni vizuri? Sio haki hata kidogo kwanini usirudi mapema...
1 Reactions
55 Replies
10K Views
Kutoka pm, Mdada: Mambo masai dada mimi nina tatizo lilianza zamani siwezi kulala na mwanamke mwenzangu wala kumtazama sana akiwa uchi, iyo hali sikuielewa mpaka nilivyoanza kuwaota na katika...
0 Reactions
66 Replies
15K Views
Nimesikia eti mtu akiwa hajui kuromance/kukiss vizuri na kitandani pia anakua si mtendaji mzuri...cjui pana ukweli wwt hapa?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
[emoji12]
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama uko tayari ni pm binti/mwanamke wa kuliwazana
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…