Mbinu ya wanawake ili waolewe ni kupata mimba

Mbinu ya wanawake ili waolewe ni kupata mimba

Joined
Jun 23, 2015
Posts
48
Reaction score
10
(PMU) PATA MIMBA UOLEWE

Ni bonge la mbinu liliobuniwa na wanawake wachache wanaopenda ndoa. Hii Mbinu imezaa ndoa nyingi ambazo Hazijatoka Kwa Mungu ila zimetoka kwa mjamzito mwenyewe.

Sawa tunajua mnapenda kuvaa pete, mnapenda kuitwa mke wa mnapenda matarumbeta na kwaito siku ya harusi.Leo utajiona mjanja umewin, umemtegea kijana akakupa mimba alafu akakuoa.

Lakini jua siku ya kupewa talaka, mashosti hawa hawa waliochekelea ulivyomkomesha mshkaji kwa kumtegeshea ndo watakuwa wakwanza kusambaza ujumbe kwenye Whatsup kwamba "shosti shuzi la ndoa limemshinda alidhani ndoa ni vinyweleo vinaota tu"

Ndoa haina matarumbeta acha iletwe na Mungu sio na mbegu za kiume.
 
Nakuona unanipigia dongo tu,apa nina litumbo nataka nimsokomezee jamaa... Aaah ushantibua tayari nilale tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom