Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Labda mm sijajua ivi umu ndani kunautaratibu wa members kuktana kma kwnye vikao vya arusi maana kuna watu nataka niwaone
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hi all, Natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana naye mawazo awe na miaka 30-40 anayejielewa,msomi na ambaye anatambua nini maana ya maisha karibuni wanawake.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumekuwa na tabia ya wadada wa siku hizi kuwa Magogo (kushindwa kutumia nyonga zao vzr wawapo vitandani na wawapendao hasa wakati wa yale mambo yetu). Demu unakuta amelala tu utadhani Samaki alie...
6 Reactions
68 Replies
9K Views
Habari za hapa Jamvini wadau. Kifupi niliwahi kuwa na uhusiano na mrembo mmoja kwa takribani miaka mitano (5) tangu mwaka 2007, naamini tulipendana sana. Kwa sababu nyingi zikiwepo ya tofauti ya...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Kama hukubahatika kusoma hii story, jitahidi uisome hapo chini, maana wadau walichangia sana baada ya mimi kufunguka hapa. Kiukweli kuna wadau waliniuliza kuhusu matumizi ya condom na blabla...
4 Reactions
89 Replies
15K Views
Habari za swaumu wanaJf, Naamini nyote mko na afya imara tu za kuendelea kuruhusu kuona hiki nilichoandika hapa. Niliahidi kuwa nikimaliza UE nitakuja hapa kueleza mambo muhimu haswa...
6 Reactions
61 Replies
21K Views
labda mm sijajua ivi humu ndani kuna ile kukutana kam members kama kwenye arusi kwan kuna watu natman sna kuwaona humu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maybe you’ve been together a while and are considering taking a big step, or perhaps you just started seeing one another and aren’t sure if you should stay the course. Whatever your situation, a...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za leo wanajamvi wenzangu? Ni matumaini mko vizuri, walio katika mfungo basi Insha Allah muumba awape nguvu zaidi ya imani na kuwapa urejefu kwake.Ama baada ya kusema hivyo basi niende...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mpenzi wangu aliachana na mimi nilivyomuita chumbani sikumgusa akaniacha na kunipa maneno mabaya kuwa mimi ni Gay nilimbembeleza kwa kumwita nyumbani kwa lengo la kumridhisha hakutaka tena na...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Je, ni kweli kupiga punyeto kunaweza kuchangia mtu kumchukia mwanamke siku akikutana naye baada ya tendo? Naomba kufahamu kutoka kwa wataalamu jamani
0 Reactions
15 Replies
2K Views
1-Kwa kawaida mwanaume huweza kufurahia tendo la ndoa bila hata kumpenda mwanamke, lakini kwa mwanamke, hiyo ni tofauti, kwani hawezi kufurahia tendo la ndoa kama hajampenda mwanaume. Kwa mwanaume...
14 Reactions
57 Replies
16K Views
Kuna dada wa umri wa miaka 22, yupo Dar mi nipo Arusha, huyu binti anajua kila kitu ninacho kifanya kwenye line zangu za simu. Nina line tatu, Voda, Tigo na Airtell, anapata sms zangu zote yaani...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Tuko marafiki watatu wa kiume wa karibu sana tangu shule ya sekondari, Jeshini hadi Chuo Kikuu, tumeoa na tuna watoto, lakini bahati mbaya rafiki yetu mmoja anatembea na mke wa rafiki yetu...
7 Reactions
134 Replies
14K Views
Mambo ya eti ooh! niko nasoma abroad tutaoana nikirudi, hakuna siku hizi, watu wanafunga ndoa na picha! Halafu anahamia kwenu.
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Utafiti usio rasmi unaonesha kwamba mke akiwa mzuri kwa siku anaweza kutongozwa na wanaume wasiopungua watatu ambao sawa na wanaume 21 kwa wiki vilevile ni sawa na wanaume 84 kwa mwezi na ni sawa...
3 Reactions
67 Replies
9K Views
Once upon a time, there was once a guy who was very much in love with this girl. This romantic guy folded 1,000 pieces of papercranes as a gift to his girl. Although, at that time he was just a...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
RIWAYA: HISTORIA BATILI(Fake History) MTUNZI: Jumaa Khatib Mdharuba (Jk) +255 718 274 130 SEASON 01-EPISODE 01...
1 Reactions
29 Replies
10K Views
Kuna msichana niliwahi kuonana nae mara1 ni rafiki wa dadaangu, tulionana nilipoenda kumtembelea sista nikahisi kumpenda, jumapili kulikuwa na event ya kifamilia nikaonana naye, safari hii nikawa...
1 Reactions
218 Replies
23K Views
Habari zenu wadau? Leo naomba nyie mnao ambiwa hilo neno huwa mnahoji,maana yake game ikiisha tu,ukiuliza niambie dear utajibiwa DEAR unajua hatari. Swali linakuja unajua ku pekecha vizuri,unajua...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…