Ndoa itafungwa tuu kwa njia yeyoye ile

Ndoa itafungwa tuu kwa njia yeyoye ile

El'son

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
380
Reaction score
324
Mambo ya eti ooh! niko nasoma abroad tutaoana nikirudi, hakuna siku hizi, watu wanafunga ndoa na picha! Halafu anahamia kwenu.
 

Attachments

  • 1437051238676.jpg
    1437051238676.jpg
    16.6 KB · Views: 2,160
  • 1437051263893.jpg
    1437051263893.jpg
    17.8 KB · Views: 1,350
  • 1437051277689.jpg
    1437051277689.jpg
    24.4 KB · Views: 1,332
Hii ni ya kipekeee.....

Kwa jins teknolojia ilivyoendelea

Nadhan wangefanya hata live video conference.
 
Hahahah uwiii wameridhiana jamani
 
Na hata kugegedana watagegedana thru Skype,Whatsaap,Twitter nk
 
Watagegedana hata baada ya miaka 10
 
Duh...kama jamaa alikula mzigo kwa gia ya kuoa ndo imekula kwake
 
haya kweli makubwa ila kama kawaida twaweza kuiga wabongo kwemda na fasion ndo zetu
 
hahahaaaaa akirudi jina limebadilika MR and MRS atafanyajee
 
Hahaha naona hiyo inaitwa lazima unioe. Kwa hiyo na pete kavalishwa na picha au?
 
Hamna namna ndoa lazima ifungwe no kukwepa oooo nipo masomoni bado ukirudi nikuchukua muke nakuendelea na maisha lakini imekaa vizuri na tutawakomesha sana nyie wanaume miaka hii
 
cute b kama hujaolewa na tuoane hata papuchi tutapeana what's up
 
Last edited by a moderator:
Mmh kazi ipo

Ila yote hii sababu nini
 
cute b kama hujaolewa na tuoane hata papuchi tutapeana what's up

Hamna shida mkuu papuchi nitakupia whatsup na pesa utakuwa unanitumia tigo pesa....
Ngoja nikupm namba zangu hahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom