Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

WANAWAKE WEMBAMBA WALIO WENGI ASILIMIA kubwa ya wanawake wembamba wakiwa kwenye HASIRA ni wababe balaa😀 Wanawake wembamba wengi ni O na lishawahi kusema kuhusu watu hawa kuwa ni wababe😀 MISIMAMO...
7 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za Jumapili wanajamvi. Niende Moja kwa Moja kwenye mada inayoniumiza kichwa mpaka nakosa amani ya moyo kwa muda wa week sasa. Mimi na mke wangu tangu tufunge ndoa huu ni mwaka wa tisa...
20 Reactions
113 Replies
18K Views
Yo! Let’s fcking talk – na leo siongei kwa utani, si cheki na mtu, na wala sibembelezi hisia za mtu yeyote. Kama unajua umeumia na mapenzi, hii ni ya kwako. Kama bado upo kichwani unawaza mapenzi...
1 Reactions
6 Replies
878 Views
Leo nikiwa kwenye safari zangu nimemuona mwanamke mmoja anamburuza mtoto mwenye umri wa miaka kama 3 au 4 na kumlazimisha mtoto atembee na mtoto alikuwa analia amechoka. Ikabidi nimsimamishe...
68 Reactions
122 Replies
6K Views
Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba...
30 Reactions
105 Replies
5K Views
Sawa Wanaume Hatuliziki Hata Tupewe Nini Ila Nakupeni Siri Moja Hakuna Mwanaume Anaweza Kuchit Akimiliki Mwanamke Mwenye Mlima Kama Huu Huo Ujasiri Wa Kuchit Atautoa Wapi Kwanza. Mkoa Gan...
20 Reactions
155 Replies
8K Views
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato. Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia...
22 Reactions
306 Replies
17K Views
Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
67 Reactions
621 Replies
22K Views
Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa...
25 Reactions
232 Replies
7K Views
Ila hawa watu wenye majina ya Rrose sijui wanakuaga na mapepe gani
10 Reactions
26 Replies
1K Views
Nilimpenda kwa dhati. Sio kwa sababu ya uzuri wake tu, bali kwa namna alivyonifanya nihisi – kuwa mimi ni wa thamani, hata nilipokuwa sina kitu. Lakini mapenzi peke yake hayakulisha njaa...
4 Reactions
12 Replies
943 Views
Mapenzi Jalala 1 Mapenzi kitu ajabu, kumbe anaye mwingine Waliya bila sababu,yeye yupo kwa Zidane Hata bila ya sababu , ataenda kwa Zahabu Mapenzi kama jalala, utupapo waokota 2 Ya kama...
0 Reactions
2 Replies
445 Views
Tulikuwa katika mazungumzo na vijana tofauti kuhusu maisha, kijana mmoja akaleta mada ya useja Kwa kuanza tulianza na mfano kwa kijana mmoja anayesemekana anaishi peke yake Nilianza na swali la...
3 Reactions
8 Replies
535 Views
Nimezunguka hii nchi ila hiyo mikoa imenitetemesha. Mbeya wanayo ya asili, Mtwara wanayatengeneza mtoto anapo zaliwa, yanakuwa yanabinuka juu juu, malainii viuno wanavirekebisha na shanga, pia...
17 Reactions
170 Replies
10K Views
Sijui ni pepo la ngono ama vipi wakuu yaani nikiona tu maziwa au chuchu za mwanamke hasa hasa zile chuchu saa sita napatwa na msisimko wa ngono inayopelekea kurukwa na akili wakuu Kiukweli hii...
12 Reactions
84 Replies
4K Views
Kwanza ifahamike kwamba neno feminism lina tokana na neno feminine ambalo ukiperuzi maana yake utakuta ni “having characteristics that are traditionally thought to be typical of or suitable for a...
38 Reactions
377 Replies
13K Views
Habarini wakuu natumaini mko wazima wote leo niwaeleze ,Maana ya kuishi na mwanamke kwa akili ni kuwa na uhusiano wa busara, hekima, na uelewa na mwanamke katika maisha ya kila siku. Hii inaweza...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
mahusiano bora ni yale ya watu wawili waliojaa upendo ambao wako tayari kushare upendo huo Ila cha ajabu sasa mahusiano mengi ya sasa hivi ni ya watu wawili ambao hawana upendo ndani yao na...
1 Reactions
10 Replies
809 Views
Umri 23-30, uwe Mkristo wa dhehebu lolote, uwe wa kabila lolote ili mradi unaishi Mwanza, elimu kuanzia kidato cha 4 na kuendelea, usiwe mnene sana wala mwembamba sana, uwe mweupe au maji ya kunde...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana JF. Mie ni kijana nimeona na nina watoto wawili. Kimaisha sipo vibaya sana nashukuru Mungu. Changamoto kubwa inayonipa hardtime ni Kodi ninazolipa kwa ujumla kuanzia kwenye biashara...
20 Reactions
73 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…