Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natafuta mke wa kumuoa umri miaka 22-24 awe mkiristo, ambae yuko tayari ani pm tuongee.
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Mwanaume wa kiislam mwenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea, anaejua dini na maana ya Uislam, mwenye kufuata misingi ya dini ya kiislam anahitajika hapa, nina miaka 28 ila sina mume kwani...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Kama kichwa kinavyojieleza umri wangu ni miaka 23 , Nimehitimu chuo Naishi dar, mkristo Natafuta rafik wa kike umri 18-23, mwenye hofu ya mungu...awe dar. Natanguliza shukrani za dhati, katibu pm
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika jamii zetu siku zote mwanaume ndo kichwa cha familia na kila familia ina principal na protocal zake lakini kwa hili hapana unakuta mwanaume ndiye m2nza mapato ya familia pekeyake na hata...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimechoka jamani japo nawapenda sana ndugu zangu na ninapenda kusikiliza mawazo yao sasa nimechoka.Mwanamke Wa 6 sasa nimemfukuza kutokana na maneno ninayopewa na ndugu zangu wakiwemo dada zangu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Natafuta mke awe; >mweupe >mrefu wastani >mkristo >kaz yoyote wasifu wangu -mweusi -mrefu wastani -shahada -mwajiriwa serikalini
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam, Natumaini mu bukheri wa afya ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye mada: Natafuta mpenzi, awe dada wa makamo anayenizidi umri, hivyo kwa makadirio awe kati ya 26-35, binafsi nina miaka 25, ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndg wanaJF naombeni msaada wenu wa mawazo na wa haraka juu ya tatizo lifuatalo. Nimejiwa na rafiki yangu asubuhi na mapema leo kuniomba ushauri ambao kutokana na ugumu niliokutana nao, imebidi...
0 Reactions
66 Replies
9K Views
Niiukweli wenye mashiko na tafiti zimethibitisha pia kuwa kwa kumweka mpenzi wako au mke wako mbele, kumtambulisha kwa wanawake wenzake kuwa ni mke wako, kuonyesha wazi na dhahiri kuwa unampenda...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu Ni kwa muda sasa nimekua mwanachama wa huu "mtandao" pendwa JF.Kilichonifanya nije mbele yenu wadau ni huu uraibu "addiction" ambao nimeutengeneza kutokana na hii JF. Imefika...
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Huyu Dada ni mfanyakazi serikalini, ana nafasi nzuri tu kikazi. Katika kujuana nikawa nimempenda nikaona isiwe tabu ni muda muafaka nimueleze ukweli. Ni mwanamke asiye na shida wala njaa kwa...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Natafuta rafiki mtu mzima anayeweza kuwa mke wangu endapo tutaelewana. Nipm.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sina maneno marefu sana. Moyo wangu uko barazani kusubiri ugeni wa mrembo wa ukweli tufurahie maisha. Mdomo wangu mzito nisiulizwe maswali mengi. Wewe msichana wa ukweli tukutane PM NB: Nahitaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenyu wadau, Naombeni muongozo katika hili, ninatarajia kufunga pingu za maisha mnamo Novemba mwaka huu panapo majaliwa. Nataka kujua bibi harusi anatakiwa vitu gani katika kipengele cha...
1 Reactions
46 Replies
32K Views
Habari wana Jf, Imekuwa ni kawaida kusikia mwanaume akimikiki mwanamke zaidi ya mmoja iwe kihalali kama waislam au kiutamaduni au hata wakristu ana mmoja lakini anavipoozeo zaidi ya yule wa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna rafiki yangu aliniambiaga nimtafutie kazi, sasa juzi kuna kazi niliipata mshahara ni laki 7. Nikamfuata ili kumpa habari hii njema. Ila kabla sijamtajia mshahara nilimuuliza kama...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Yan nimepatwa na hasira sana maana kuna hiki kijitabia ambacho wanawake wengi wanacho hasa wale wanaofanya kazi kwenye taasisi za kiserikali. Unakuta mtu umeenda kufanya jambo kwenye ofisi ya...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Sina kazi na ninaishi kiujanja ujanja. Juzi usiku nilipata ajali nikitoka bar, gharama za matengenezo ni million 2. Kichwa kinanipasuka, sijui hata la kufanya.
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Natafuta mke mtanzania tuishi wote hapa USA. Umri wangu miaka 40 na yeye awe na miaka kuanzia 26 mpaka 35 Awe Muarabu au half cast, awe Muislam Serious please tuwasiliane PM
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Je, mwanamke akikuhonga kitu anachokithamini sana ni kwamba; 1. Anakupenda? 2. Anakujali? 3. Anakuzuga tu? 4. Anaonyesha kuwa matawi ya juu? 5. Anakudanganya ili wewe umuhonge zaidi? Majibu...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…