Salaam,
Nahisi ili jambo linahitaji ushauri .
Kuna binti mmoja ninampenda, Nilianza kufahamiana naye miaka 5 iliyopita wakati tupo chuoni.
Alionekana kama future wife kwa jinsi nilivyokuwa...
Salaam,
Ndugu zangu imebidi nilete kwenu hili swala maana kuna nyakati nakwazika nakujiskia kutotendewa haki.
Kuna mdada ofisini ambaye kazi yake ni kuhudumia wafanyakazi k.v. chai, chakula cha...
Habari ndugu wanajukwaa,
Poleni na majukumu. Nimshukuru Mungu kwa wakati huu. ninawashukuru pia ndugu mlio changia nakutoa mawazo yenu tofauti tofauti. Niwashukuru wote kwa ujumla zaidi sana...
Hi everybody,
I went to mchepuko the other night.
She said it's gonna be right there. But when we were at the 6×6 I was disappointed. All I could smell there was her genitals.
All I could see...
Kabla ya yote naombeni samahani kwa wanaume wa humu ndani ila kiukweli kuna wanaume wengine hawajielewi mtu kama unampenda i mean mnapendana wote akaona kabisa unakuheshimu,unakujali,unakuthamini...
Wakuu habari za siku nyingi,
Nimepitishwa na chama changu kugombea ubunge jimbo fulani hapa Tz, nina imani kubwa nitashinda.
Kama mjuavyo mimi ni mdau wa MMU na nina marafiki wengi humu...
Jamaa yangu amepata mtoto wa kiume jana.
Hivi sasa wapo kwenye malumbano makali ambapo mme anataka amuite mtoto wao jina la baba yake (jina la babu wa mtoto) lakini mke hataki anasema mtoto aitwe...
Habari wana Jf,
Jamani kuna kimsemo kinasema "ukitaka kufurahia ndoa tafuta mtu anayekupenda sio unaempenda wewe"
Hivi inakuwaje ikiwa mtu una rafiki ambaye anakujali kwa kila kitu...
Wanaumeee: Elfu kumi utakayompa mama au mpenzi vinatofautiana thamani nafsini!!.
Huu ni ukweli usiopingika kwa watoto wa mjini tunajua ,wewe jaribu tu kuhonga vihela mbuzi kwa GF,mpenzi etc...
Tabu Ley Rochereau
One day I thought
I dreamed as though I was sleeping
Ah mama ha
The day that I will die
The day that I will die who will mourn
I will not know
Let me foresee it
Will I die in I...
Wanajamii kama siyo kuirudisha hii hoja basi naomba msaada katika hili.
Ni kwa nini pete yando huvaliwa mkono wa kushoto kidole chapili kutoka cha mwisho??
Lugha yaweza ikawa kikwazo lakini...
Mu hali gani wanajukwaa?
Nahisi ukisoma title ya hii thread kidogo utastuka, lakin ukweli ni kwamba;Niliamua kumkandia [kumharibia] rafiki yangu kwa msichana wake ili mimi nimpate, na nilifanya...
Hii kitu nimekuwa nikiishuhudia sana katika familia nyingi tu na mbalimbali lakini hasa hasa huku kwetu Barani Afrika ambapo utakuta familia ina watoto watatu au watano lakini kuna mtoto mmoja au...
Rejea kichwa cha somo husika hapo juu
Kwa muktasari tu ni kwamba kuna mwanamke mmoja aliniomba kampani tuishi wote yaani nihamie kwake, baadae kodi imefika akadai tuchangie
Nimegoma na Nina hama...
Habari wanajamii,
Natafuta marafk wa kike wanaopenda kuchat, kupeana kampani na kwenda out. Professionally nimesomea Information Technology, nimehitimu mwaka 2011. I am 28 years. Even older women...