Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hawa Ni Wazee Wa CCM Waishio Dar Na Wala Sio Wazee Wa Mkoa Wa Dar-es-Salaam.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamvi natumai mpo vizuri. Kuna hali katika mwili na maisha ya binadamu huitwa hasira. Hii hali nilinaweza sababishwa na sababu za ndani kwa ndani (internal causes) kama vile homoni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanawake tuambieni maana imekuwa taaaaabu kuwaelewa mnachokpenda.Kidume ht uwe na pesa,mpole na mwenye mapenzi ya kweli pia waweza achwa.Valentina,masai dada,Lara0(1) tupeni ya moyoni
1 Reactions
232 Replies
25K Views
Before sijamaliza chuo niliona sio mbaya na mimi niondoke na mtu (mchumba) na nilikuwa serious kabisa Basi nikaanza mchakato na nikakutana na binti mmoja kwa kweli ni mashaala kajaaliwa mtoto...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Nimekuanae kwa takribani mwezi mmoja na nusu sasa. Yuko very romantic, sweet tender loving! Cha kushangaza najihisi kama nashindwa kumzoea hivi maana kila tukipishana kwa jambo hata liwe dogo...
2 Reactions
160 Replies
18K Views
Nilikutana na huyu dada kama miaka miwili iliyopita. Aliniambia hajaolewa na anaishi kwao. Nimekuwa nikipiga piga mara moja moja na kila niki muhitaji kwa lolote alikuwa anakuja. Nimesafiri naye...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
NOTE: Hii haiwahusu wazinzi. Kuna baadhi ya wanaume wenzangu wanaogopa kuoa wanawake warembo kwa kuhofia kuwa eti wanaweza kuibiwa hivyo huona kuwa mwanamke wa kawaida ambao wao huwapa sifa ya...
10 Reactions
57 Replies
11K Views
Habari zenu wakuu. Leo sio vibaya kaka yenu nikawaelewesha jinsi ya kusafisha uke kwa dada/mama zangu ili usiweze kutoa harufu mbaya.maana nimeona malalamiko humu na sehemu nyingine wanaume...
7 Reactions
218 Replies
52K Views
Habari wanajf, Hivi mwanaume anarudi nyumbani usiku na rafiki yake labda saa nne anakuta mkewe amelala anamuamsha mkewe aende akampikie chakula yule rafiki yake ambae wanaishi jirani...
1 Reactions
102 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu!! Imepita takribani week tatu tokea mheshimiwa waziri mstaafu ENL ajiunge na UKAWA na kusema ukweli mimi ni mmoja wa watu niliyekuwa natamani na naendelea kutamani mheshimiwa...
5 Reactions
86 Replies
12K Views
Naja kwa ID hii hii mpya mpaka kieleweke. Mahusiano ni jambo jema sana, ila sasa kuna wale wa 'kuchonya', karibia ID zangu zote nakutana nawe PM halafu maneno yaleyale, hebu kuwa mbunifu kaka...
4 Reactions
71 Replies
9K Views
Wana MMU, Naomba kwa wanaume wenye uzoefu na hili jambo atufafanulie. Hivi wewe mwanaume (natambua wapo na wanawake) nani aliyekufundisha kumtongoza/kumshawishi msichana hadi akukubalie kuw anaye...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Habari zenu wapendwa... Ijumaa Kariiim, Natumai mmeswali sawia tayari kwa weekend maana ndo hiyoooo inaanza mdogo mdogo. Kisa hiki kilianza ijumaa iliyopita, na kinahusiana na watu wa hapa...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Mimi ni mwalimu nimeajiriwa na nina mwaka mmoja kazini, nilipangiwa shule moja kijijini yenye wanafunzi mchanganyiko wa kike na wakiume. Kiukweli ualimu usipokua makini kufungwa ni nje nje...
14 Reactions
104 Replies
14K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 4, natafuta mke mwenye umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea,Tafadhali, nina nia ya dhati na ya kweli toka moyoni naitaji mke wa Maisha, mwanamke mwenye nia kama yangu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
1.Wenye Wivu. 2.Wanao somesha wanawake. 3.Wenye mapenzi ya dhati. 4.Wenyekutoa pesa nyingi bila kuombwa. 5.Wenye bashasha za mapenzi. 6.Wenye kupenda pasipo pendeka. 7.Wenye kupigapiga simu.
8 Reactions
103 Replies
22K Views
Nimeona matatizo ya mahusiano yazidi kuongezeka na nikakaa kutafakari shida iko wapi!Kwa mtazamo wangu, wanaume wengi wametangulia kuwajua wanawake wao kabla hawajawaelewa! Ni vizuri kujua tabia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana humu, Mimi ni kijana ninayejitokeza kutafuta mchumba hapa Sifa zangu: -Muislam -Mrefu kiasi -Umri wng 22 -Nimeajiriwa serikalini -Sivuti sigara wala situmii pombe -Mchumba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sura sio tatizo ila awe na makalio makubwa, asiwe bonge sana, awe maji ya kunde , na awe anapenda faragha kiasi nikirudi job tu nampa doziiii, awe tayari kufundishwa gari. Namba za simu aweke...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Miezi miwili iliopita nimetengana na mwanamke wangu tuliopendana kwa musa mrefu kwa issue za uhaminifu, kama kawaida yao baada ya kuachana haikuchukua week akawa anatoka na...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…