Hizi upatu,vikundi vya wanawake vinakera sasa

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
10,785
Reaction score
20,061
Mi na mke wangu wote ni watumishi wa umma shida inakuja kila mara namuonya hayo maupatu upatu yao msharaha uwezekano wa kutunza wenyewe upo mara kwa mara namuambia 200000 kila mwezi mmamchangia rafiki yenu (wapo 10) kwa maana hiyo kila mwezi wanamchangia mwenzao 200000*9 kama 1.8M. Hii inaenda kwa mzunguko sasa shughuli imekuja tena hii ni mara ya 3

Sasa wanatofautiana huko mtu akipata mara anajitoa mara sijui akimbie na pesa.Juzi kidogo nimzabe makofi basi tu analalamika nimedhuliwa tena nini ooh mwezi huu ilikua zamu yangu hajanichangia tena mimi nahama nahamia kikundi kingine yani alinikera nikajua unaacha kumbe hujakoma tu.

NB: Hii michezzo wanayo sana kina mama hivi ukiamua kuitunza hiyo pesa sinakuwa ni bora kuliko kuchangiana maana ni kitu kilekile mfano January, February, March, April, May, June, July, August, September Hii miezi 9 mnamchangia mwenzenu haalfu mwezi wa kumi ndio unachangiwa weweambapo utapata 1.8M.

SI NI BORA UITUNZE MWENYEWE KILA MWEZI
 
Kuna shida na upatu, yawezekana kuwa ni njia nzuri ya kugawana umasikini na kuongeza umasikini. Lakini pia ni sehemu ya social networking ya mama zetu.
Vumilia tu. Wako hivyo.
 
Wakati wewe unawaza kutumia nguvu zako kwa kumchapa makofi badala ya kuzitumia kwenye kilimo.....

Kuna wamama hapa kila mwezi mmoja anapokea 10,000,000 (wapo 10, milioni kwa mwezi) hawajawahi kudhulumiana mwaka wa 2 na ushee sasa.
 
Yawezekana baadhi ya wakina mama hawajui kuitumia hii fursa.

Kama upatu unatumika vizur basi ni mtaji rahisi sana na njia ya kupata pesa kwa haraka kuliko taasisi za fedha kama mabenki na hizi microfinance.

Mfano kama kikundi kina watu 12 na kila mtu anachangia milioni 1 kwa mwezi Ina maana zamu yako ikifika utapokea milioni 12.

Sasa kwa mama mwenye akili nzuri hiyo milioni 12 ni mtaji ambao ukitumika vizuri unaweza kabisa kutengeneza faida ya zaidi ya milioni tatu kwa mwezi ambayo ukiondoa ile milioni moja ya marudisho Kuna faida kama ya milioni mbili hivi.

Tatizo nnaloliona ni kwamba wengi hawajui haswa msingi mkuu wa upatu kuwa ni kupata mtaji rahisi na si vinginevyo.

Wengi wanatumia pesa ya upatu kugharamia matumizi ya kila siku kitu ambacho si sahihi na ni bora wasingeingia huko.
 
Uko sawa kabisa! Hii kitu ni bora kuliko bank loans
 
akili yako fupi sana
 
Uko sawa kabisa! Hii kitu ni bora kuliko bank loans
Nimeshuhudia wakina mama wengi wananufaika kwa mtindo huu. Pesa kama milioni Sita wanaweza wakapata kwa mda mfupi, akati benki wanaweza kesha hata miezi mawili.. Mi Naona ni nzuri mkuu
 
Ufupi wa akili yake uko wapi kwa mchango aliotoa kwenye bandiko hili.
sasa kuna tofauti gani ya wewe kukusanya hio hela mwenyewe ukaweka bank oyo miezi tisa ukaenda ichukua ikiwa salama tena na riba. Hiyo ya kuchangiana mtu akihama mkoa akabadili namba ya simu imekula kwenu. sidha kama inakuaga na collateral
 
ukipata iyo hela unaona kama ni zali wakati ni hela yako tena umempa mtu aifanyie kazi zake akurudishie baada ya miezi tisa bila hata riba
 
sasa kuna tofauti gani ya wewe kukusanya hio hela mwenyewe ukaweka bank oyo miezi tisa ukaenda ichukua ikiwa salama tena na riba. Hiyo ya kuchangiana mtu akihama mkoa akabadili namba ya simu imekula kwenu. sidha kama inakuaga na collateral

Wewe ndio akili fupi ikilinganishwa na huyo unaesema ana akili fupi.
1. Bank unatoa interest ya pc ngapi kwa mwaka (na pesa yenyewe huweki 12m at once)

2. Nidhamu ya pesa sio kila mtu anayo. Vikundi husaidiana kutiana moyo wote wawe na nidhamu kwa LAZIMA

Wewe unatunza pesa mpk mwisho wa mwaka bila kuguswa? Let say hujaweka kwenye acc zile za fixed or alike
 
Yawezekana baadhi ya wakina mama hawajui kuitumia hii fursa.

Kama upatu unatumika vizur basi ni mtaji rahisi sana na njia ya kupata pesa kwa haraka kuliko taasisi za fedha kama mabenki na hizi microfinance.

Mfano kama kikundi kina watu 12 na kila mtu anachangia milioni 1 kwa mwezi Ina maana zamu yako ikifika utapokea milioni 12.

Sasa kwa mama mwenye akili nzuri hiyo milioni 12 ni mtaji ambao ukitumika vizuri unaweza kabisa kutengeneza faida ya zaidi ya milioni tatu kwa mwezi ambayo ukiondoa ile milioni moja ya marudisho Kuna faida kama ya milioni mbili hivi.

Tatizo nnaloliona ni kwamba wengi hawajui haswa msingi mkuu wa upatu kuwa ni kupata mtaji rahisi na si vinginevyo.

Wengi wanatumia pesa ya upatu kugharamia matumizi ya kila siku kitu ambacho si sahihi na ni bora wasingeingia huko.

ni biashara gani hiyo unaweza tengeneza profit ya milion 3 kwa mwezi kwa mtaji wa milion 12?

sizani kama biashara ni rahisi kias hicho.
 
Wakati wewe unawaza kutumia nguvu zako kwa kumchapa makofi badala ya kuzitumia kwenye kilimo.....

Kuna wamama hapa kila mwezi mmoja anapokea 10,000,000 (wapo 10, milioni kwa mwezi) hawajawahi kudhulumiana mwaka wa 2 na ushee sasa.

Kuna mitazamo tofauti, ila mimi ninaamini mtu anayeweza kupata Mil 1 ya kupeleka kwenye upatu kila mwezi ni mtu mwenye kipato kizuri sana, ila huu upatu wa laki 1 unakuwa na watu ambao wengine vipato vyao vinategemea huu huu upatu, kukimbiana kuko nje nje!
 
Upatu umenisaidia sana kujiongeza, mwanzo nilikua nauogopa lakini tangu nimejiunga na upatu na vikoba, nishaachana na habari za kukopa kwenye mabenk.
 
benk na upatu ipi salama mwanachama akikimbia na pesa mnafanyaje?
 
Yawezekana baadhi ya wakina mama hawajui kuitumia hii fursa.

Kama upatu unatumika vizur basi ni mtaji rahisi sana na njia ya kupata pesa kwa haraka kuliko taasisi za fedha kama mabenki na hizi microfinance.

Mfano kama kikundi kina watu 12 na kila mtu anachangia milioni 1 kwa mwezi Ina maana zamu yako ikifika utapokea milioni 12.

Sasa kwa mama mwenye akili nzuri hiyo milioni 12 ni mtaji ambao ukitumika vizuri unaweza kabisa kutengeneza faida ya zaidi ya milioni tatu kwa mwezi ambayo ukiondoa ile milioni moja ya marudisho Kuna faida kama ya milioni mbili hivi.

Tatizo nnaloliona ni kwamba wengi hawajui haswa msingi mkuu wa upatu kuwa ni kupata mtaji rahisi na si vinginevyo.

Wengi wanatumia pesa ya upatu kugharamia matumizi ya kila siku kitu ambacho si sahihi na ni bora wasingeingia huko.

Whats the difference km milioni 12 unaipata mara moja kwa mwaka na unachanga milioni kila mwezi? I mean hiyo milioni unayoiweka kwenye upatu why usiitunze mwenyewe ikifika december ujilipe km upatu? Mi sipati logic ya kuchangia kitu halafu kwa mwaka unapata mara moja tu bila riba wala zaidi ya kile ulichochanga siku zote, bora ujiwekee mwenyewe tu
 
Back
Top Bottom