Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,240
- 5,251
Nimekuanae kwa takribani mwezi mmoja na nusu sasa. Yuko very romantic, sweet tender loving! Cha kushangaza najihisi kama nashindwa kumzoea hivi maana kila tukipishana kwa jambo hata liwe dogo kiasi gani basi anakuwa kama kasusa.
Indirectly tukilizungumzia tatizo tukamaliza anadai yuko sawa ila kimtindo kunakuwa na mis-treatment flani anayoidhihirisha hata kwa kauli tu, inakuwa kama namlazimisha kuongea ikiwa yeye hana hamu tena ingawa anakuwa ananijibu on time.
Nimekuja kwenu wanajamvi, kama kuna mtu ana uzoefu na aina hii ya wanawake.Tunaishi nao vipi jamani? How to deal with it! Naona kama nitashindwa kukaza, sijazoea.