Nampenda nae anadai ananipenda lakini huwa hapendi kufanya mapenzi

SHABANIMAVOCHA

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
320
65
Wana Jf,

Nina mpenzi wangu ambae nampenda sana nae anadai ananipenda lakini tunaweza kukaa hata mwezi m1 alafu nikimwambia namuitaji kimapenzi huwa anakataa kabisa anadai eti anaogopa hii inaniumiza sana wakati mwengine nalazimika kumuongopea ili aje nyumbani lakini hakifika tutacheka na kucheza sana.

Lakini ukitaka kwenda kimapenzi tuu ana badilika fasta najitahidi sana kumuomba kistaarabu lakini hanielewi nikitumia nguvu ndo inakuwa bonge la ugomvi yani imeshafka miez 8 sasa toka tuanze mahusiano lakini nimefanya nae mara 2 tu tena kwa kazi sana.

Wewe kama mzee/kijana naomba ushauri nini nifanye ili tatizo ili liishe.
 
Hisia za mwanamke zipo mbali mno,anahitaj kuchezewa,kubembelezwa kuandaliwa kisaikolojia siyo kumvamia kama jogoo,badilisha mandhari toka nae out ongea nae kwa utulivu muelezee unachohitaj naamin atakuelewa usimvamie tuu msifie mfanye ajihisi ana mvuto
 
Sasa ww mtu mnakutana anakuvamia tuu hajakuweka sawa hamjabembelezana hata kidogo alaf unahisi nitaloa kweli??mambo taratibu

bba7cb2adb47ef10b63d576ac29a6532953b6627850d9c7c4c41c2c9c5cd1ffb.jpg
 
Umenichekesha sana.
KWanza hilo sio tatizo sana ukitaka akutafute jifanye huna time nae, we salimiana nae tu vizuri ila usigusie suala hilo na pia katika storu ingizia topiki hiyo kuwa yeye anapenda mfumo wa mapenzi yenu uweje? yaweza kuwa kila mmoja ana mtazamo tofauti ndo maana iko hivyo so mkae mpange mfumo wa mapenzi yenu uweje.
Sio kila wapenzi lazima washirikiane kimwili, inategemea mmejipangia vipi, ni msimamo wenu tu. Ni hayo tu
 
mchunguze vizuri uwenda akawa hana hisia za kimapenzi (kakeketwa) au katendwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom