Umekutana na mwanamke umeomba namba umepewa, unamcheki anakuwa mzito ila umemtumia vipesa kawa mwepesi kama nyoya
Mwanamke huyo mkikutana hana utofauti na wa kununua, ukitosheka na huduma chapa...
Unatembea barabarani wewe na mpenzi wako, mara ghafla jicho lako linaingiliwa na mdudu na kukusababishia kuwa na upofu wa kutokuona tena katika maisha yako.
Je, mpenzi uliyenaye atakuvumilia wewe...
Imedaiwa kuwa, idadi kubwa ya wanawake wanaotumia kondomu za kike, ni wale wanaofanya biashara ya kuuza miili yao (machangudoa), ambao wengi wameonyesha kuipokea elimu juu ya matumizi ya zana hiyo...
Nina mpenzi wangu ni mpole Sasa mimi muongeaji Sasa Kila nikiongea anasema naongea Sana lakini siongeagi Kwa ugomvi ni Ile tu kutaka nae achangamke asipoe Sana lakini mwezangu anaona kero Sasa na...
Habari ana JF natumaini mu wazima,
Ipo hivi kipindi cha nyuma Kuna mwanamke niliingia naye kwenye mahusiano japo tulikua tunagombana sana ila kila nilipofanya juhudi kumuacha nilishindwa...
JINSI YA KUMPATA NA KUMILIKI PISIKALI/ MWANAMKE MZURI WA SURA NA UMBO.
Anaandika, Robert Heriel Tz
Mtibeli
Usiishie kuwamezea mate wakipita barabarani. Wala usiishie kuwaona mitandaoni au...
Wanawake waliofungashiwa ni highly marketable securities katika soko. Ops, nimetumia lugha ya ki finance. Highly marketable securities ni zile hisa za makampuni makubwa Duniani, Marekani wanaita...
Habarini wadau, ningependa kushare na nyinyi humu jf kuhusiana na mkasa wa rafiki yangu ambaye sasa hivi yupo kama haelewi.Alikuwa na mahusiano na binti mmoja hivi kwa miaka kama miwili iliyopita...
Habari wakuu,
Mpaka sasa nipo mbali na shemeji yenu ni mwaka sasa hatujaonana sababu ya issue za utafutaji japo mawasiliano yapo strong kiasi chake.
Ila mahusiano ya mbali ni Mungu tu awe kati...
Katika jamii yetu ya leo, kumekuwa na mitindo na vigezo vya kipekee vinavyoshinikiza wanawake kuchagua wapenzi kulingana na vipengele kama urefu. Katika mazungumzo mengi, utakuta wanawake wengi...
Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia
Bara la Afrika ni la tofauti...
Wanaume wengi wasingiziwa watoto
Faraja Mgwabati
Daily News; Sunday,April 20, 2008 @00:01
MATUMIZI ya kipimo cha kupima chembechembe asili za urithi katika mwili wa binadamu (DNA)...
Ukweli.
Baada ya mzee magu kutangulia mbele ya haki kipato kiliyumba. Ukweli ni kwamba mzee yule alimuweka kila msomi na mtumishi alipostahili. Nilimpata nafasi ofisi ya umma yenye kipato na...
Wakuu kwema?
Wakuu hivi ni kitu gani kinafanya mwanamke mkubwa kwa umbo na umri kuridhishwa na moto mdogo ambaye kimwonekano huwezi kudhani kama anaweza kuwa na mwanamke wa aina hiyo?
Wakuu habarini;
Kama kichwa kinavyojieleza ni ipi dawa ya mwanamke huyu ambaye ni msumbufu kupita kiasi, ni hivi; nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani 1 year lakini tuliachana (nilimwacha)...
Hello wakuu!
Kuna kesi nimeletewa na couple flani niisuruhishe, nimeshndwa hata nianzie wapi,anyway issue nzima iko hipi,
Kuna jamaa angu ana mchumba ake wanaish nae tayari ingawa hawajafunga...
Habari wakuu,
Je yawezekana nikaenda TCRA wakanipa au kunionyesha walau hata message 1 ili kunithibitishia kwamba mke wangu amekuwa sio mwaminifu?
Tafadhali usichafue hali ya hewa.
Karibuni sana.
Naomba niulize swali kwa wana JF hasa wanaume,
Utakuta umekutana na mtu ameomba namba yako ya simu ukampatia akakupigia nawe ukawa unampigia, mmeenda date kwa muda kama wiki mbili hivi kila wiki...
Train crushes railway sex couple
BBC News Online
A couple in South Africa who were having sex on a railway track in Mpumalanga Province have been killed by a goods train, police say...
Asilimia kubwa wanaume wengi hukimbilia wanawake ambao wasiokuwa na mvuto kuwatongoza.
Hakuna mwanamme asiyependa kuwa na mwanamke mkali kisura na kiumbo pia ila tatizo ni kuwa wanaingiwa na hofu...