Ushauri; Naweza kwenda TCRA kunithibitishia kama mke ni kweli ninachomzania?

dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
4,143
5,610
Habari wakuu,

Je yawezekana nikaenda TCRA wakanipa au kunionyesha walau hata message 1 ili kunithibitishia kwamba mke wangu amekuwa sio mwaminifu?

Tafadhali usichafue hali ya hewa.

Karibuni sana.
 
TCRA hawahifadhi msg za watu, maybe kampuni ya simu na hauwezi kuapta ushirikiano kijinga kijinga.
 
haiwezekan mkuu labda uwende katika mtandao wake wa simu na ukiwa na barua kutoka police kuomba kuchunguzwa kwa uyoo mkewoo

saa sijui hawo police utawaambiaje......ila jaribu kuwaambia police mke wangu yuko na mawasiliano na mbowe so naomba wachunguzwe nahisi wanataka kupindua nchi.........yani apo ni faster tuu unapata kibali
 
Back
Top Bottom