Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilitendwa sana nikawachukia wanawake nikaapa sitaoa tena. Lakini kutokana na mastress ya maisha, kazi na ushauri wa ndugu, jamaa na marafiki nimeona nimtafute wa kumuoa kwa kuanzia hapa jamii...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, Mimi ni mdada wa miaka 27 ,mkristo,nipo Arusha,elimu yangu ni kidato cha nne,nimeajiriwa serikalini. Natafuta mume kuanzia miaka 30-36,mkristo,awe na kazi au biashara ya...
1 Reactions
54 Replies
11K Views
Jaman na mm natafuta mchumba vgezo awe kat ya miaka 22 hadi 24 asiwe mnene sana wala mwembamba SNA yaan saiz ya kat tuu asiwe mweupe sana wala asiwe mweuc sana ila kumbuka npo silias kwa hyo...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Wewe una mke wako au mme wako ambaye mmeishi pamoja kwa miaka kama kumi na mna watoto wawili. Atakapo kufa mama yako au mke au mme wako wote utasikia uchungu lakini unadhani yupi zaidi atakupa...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Ndugu zanguni, Ukiona unamfukuzia mwanamke alafu yeye ndio kwanzaa anakazana kukuita majina yenye kuonyesha heshima flani hivi ikiwemo majina ya kuitwa Kaka sijuu rafikii...ndugu zinduka huna...
1 Reactions
49 Replies
14K Views
Natafuta mtu wa kuzaa naye mtoto! Huduma zote nitatoa! Mimi ni wa kiume. Serious
0 Reactions
53 Replies
4K Views
HABARINI! Kweli nimeamini jf kwa michango yenu mnabusara nyingi sana, na msemayo yapo kama hayapo yapo njiani kuja, Hekima zenu zipo juu yenu katika kuwasaidia na kushare idea mbalimbali.Na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello bandugu! Niko ugenini mwenzenu ukiwa mwingi. Binti/dada asiyezidi 32 aliyepo maeneo haya tupeane kampany aisee! Nitafute PM!
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Mambo? Hvi kama una mpenzi wako mmeshaoana mna kama miaka miwili ya ndoa hajawahi kukuweka profile na wewe kila kukicha unamweka ina maanisha nini?
0 Reactions
95 Replies
15K Views
Watoto wadogo wanakela sana na wasumbufu nimechoshwa na mapenzi yao,mimi kijana umri miaka 26 ni mrefu ,natafuta mpenzi umri kat i ya miaka 28 mpka 40 tuwe wapenzi tuu no ndoa manake sijawaza hlo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika movie ya pursuit of happiness muigizaji anasema hakuna true happiness isipokua watu wanastruggle kuitafuta true happiness. Ndo maana kuna time mtu unakua na furaha kuliko wengine lakini...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakati mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta soko kwa wanaume. Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari za asubuhi, Nilikua nauliza je, mzazi kama baba yako akisema hatokua radhi na chochote utachokifanya na hutofanikiwa je, ni kweli sitofanikiwa? Mzazi wangu ananilaumu kwa vitu ambavyo...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Nahisi nimeingia kwenye mtego: Kuna binti 1 alikuja katika sehemu yangu ya kazi nikamfanyia kazi yake siku ya kwanza akaondoka, akaja tena mara ya pili tukaongea ongea akanipa namba yake ya simu...
1 Reactions
65 Replies
7K Views
Nimekaa kama mwaka na miezi kadhaa baada ya kugegeda binti mmoja mtaani hapa, tatizo la huyu binti ana kashfa ana ngoma ila nilipiga hvyo hivyo tena kavu kavu, nataka nikavunje ukimya kesho...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Wana jamvi niwape salamu za kutosha...Kama kila mtu anavyojua sasa hivi tupo kwenye kipindi cha kampeni na hatimae tarehe 25 tutapiga kura ya kuchagua raisi,wabunge na madiwani. Hili ni wazo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mdada aliye tayari 0754458485
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakristo Bwana Yesu asifiwe, na Waislam asalaamaleykhum, Kama nitakuwa nimekosea salamu hizo basi niombe radhi ila natumai nyote kwa ujumla muwazima. Lengo langu ni kilio changu cha muda mrefu...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Ndugu wana jf nimekuwa mara kwa mara nikijiuliza hili swali au slogani inayosemwa na watu wengi kuwa mwanamke akiolewa akubali kulala bila chu.p.i.najiuliza kuna madhara gani kwa mwanamke kulala...
2 Reactions
151 Replies
33K Views
Nimekuwa katika mapenzi na bint mmoja yapata mwaka mmoja na nusu sasa na mara ya mwisho nimeachana naye mwezi 5 nilpokuja kwenye ajira mpya na ndo ukawa mwisho wa kusex isipokuwa mwenzangu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…